Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,246
- 2,261
Anakuja anasema shetani alimpitia.Kama kweli hyo profile picture ni wewe basi ujue jamaa anajuta huko alipo.daadeki!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwa nn hawajaenda wote.
Mxiuuu zake
Anakuja anasema shetani alimpitia.Kama kweli hyo profile picture ni wewe basi ujue jamaa anajuta huko alipo.daadeki!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnawatoleaga wapi hao marafiki wa kuamini hivyo?
Bwana ako ni kitombi jiandae kisaikolojia
Uko mkoa mwingine unategemea bebidadi amle nani?
Punguza kudeka na maringo (Eti hajakuzidi kitu ingekuwa hivyo asingemtaka rafiki yako)
[/QUOTE
Yote yanawezekana[emoji28][emoji28] maji nishayavulia nguo sina budi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani bahati mbaya ningeshindwa kuitoa? Yeye ndio wa kwanza kuijua kabla yangu mm nimejua baada ya kupima 2wks ningeamua ningetoa, nikaamua kuitunza!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah!! Kuna watu wanacheza na bahati jamani 😋Anakuja anasema shetani alimpitia.
Sijui kwa nn hawajaenda wote.
Mxiuuu zake
Nimesoma reply zako unatumia nguvu nyingi sana kumtetea bbydady wako kifupi ata ukimkamata uwezo wa kumuacha huna
Cha msingi punguza kisirani cha mahusiano lea mimba acha kuishi kama mpelelezi wanaume hatueleweki unaweza achwa apo akaolewa rafiki ako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sababu zinazokufanya ummwage rafiki zitumie pia kimwaga Mr wako. Yeye ndiyo mjinga zaidi. Biblia ilishamaliza kuhusu mwanamke sasa shemeji yetu ikaweje akafuatisha?
ni dhahiri mumeo kitombi na ushahidi unao. sasa huko alipo anapigaje machine
Huyo mwanaume ni kichomi kumbuka uyaonayo kwenye mahusiano yako kabla ya ndoa ndivyo yatakavyo kuwa ndani ya ndoa
Kifupi mwana angekuwa smart angekwambia mapema “ sitaki uwe na mazoea na huyu rafiki ako....then wewe ungejiongeza why kakaa kimya mpaka wewe ndio ugundue upuuzi wao
Mapenzi ni upofu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimesoma reply zako unatumia nguvu nyingi sana kumtetea bbydady wako kifupi ata ukimkamata uwezo wa kumuacha huna
Cha msingi punguza kisirani cha mahusiano lea mimba acha kuishi kama mpelelezi wanaume hatueleweki unaweza achwa apo akaolewa rafiki ako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mim nahis lakin sina uhakika wanaume 90% wanafanana na bby dady, bila shaka hiyo mimba yako ndio ya kwanza kwake ni kama anakosa vitu flan vya kiume hivi lakin may be anaweza kubadilika umri ukisonga kidogo, nakubaliana na wew urafiki wa moyo na maini sio mzuri bila kujali jinsia,Kwahiyo unataka niende wapi[emoji5][emoji5]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mim nahis lakin sina uhakika wanaume 90% wanafanana na bby dady, bila shaka hiyo mimba yako ndio ya kwanza kwake ni kama anakosa vitu flan vya kiume hivi lakin may be anaweza kubadilika umri ukisonga kidogo, nakubaliana na wew urafiki wa moyo na maini sio mzuri bila kujali jinsia,
Sitaki kusema uache kuringa ( kuringishia ) binadam wengi wako negative kwenye hili (sio wote ), kwanin unakaa mbali na mwenzio fanya fanya kabla au soon baada ya kujifungua uwe karibu na mwenzio(distance) is a major threat at all levels in relationship. Be positive unaonekana kama upo mguu nje mguu ndani, umeshampenda na kumsamehe makosa yake be positive time will judge. Nakutakia kila la kheri ujifungue salama na sina maana hujui nin cha kufanya wakati wa ujauzito lakin jitahidi kufuatilia elimu ya ujauzito kwa kadri utakavyojaaliwa na kama hali itaruhusu bas jifungulie hospital yenye uzoefu.
Ukweli mchungu ni kwamba baharia mwenzetu bwana babydady ni kitombi maana mwanaume anayejielewa asingelea mahusiano yasiyo na afya na yanayoweza kukuumiza ,NATABIRI jamaa atakuumiza sana maishani hasa kutafuna ndugu zako na marafiki huyu ni ancient kabisa