Kwa wale wapenda 071... hapo hawachomoki.
Kuna jamaa yangu alimdanganya dem wake kuwa mie ndio nimempa hizi dawa za kienyeji sijui mkuyati.
Nikashangaa bibishemeji anamazoea saana. Mara akafanya ziara kutoka mji kasoro bahari kuja town
Mara akasema amekosa gar za kurudi so anakuja kuangusha kwangu ila asijue my best but akanipa pre caution kwamba nisifanye chochote.
Baada ya kuja hizo picha picha zilizochezwa paka leo naamini uchawi upo. Niliingia king.
Alafu badae ndio akaniambia kuwa ameambiwa nasupply dawa. Miaka imepita ila nashindwa kuelewa
Kwa hiyo
mahondaw mkiamua mmeamua sisi hatuchomoki ndugu yangu.
Sent using
Jamii Forums mobile app