Tuweni makini na marafiki tulio nao

Tuweni makini na marafiki tulio nao

Huyu jamaa yako mpuuzi nachelea kusema anakosa vitu fulani vya kiume.

Mpk anakutumia screenshots basi kuna shida mahala, mwanaume hata ukamatwe chumbani na mwanamke ni mwiko kukiri lazima utumie nguvu zote kupinga.

Kingine huwezi kukaa na msg za demu mpango was kando kwenye simu, ili iweje?? Bila shaka amejua udhaifu wako hivyo unapaswa kujirekebisha ama ukubaliane na matokeo ya kuwa mnashare sana na utakuwa unaonyeshwa kabisa waziwazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ni kweli wanawake hatupendani love? ??!tihtihh[emoji2][emoji2](hata usinijibu nakuchokoza tyu)[emoji12][emoji12][emoji12]

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona mnapendana sana tu... Ni vile tu kuna ka-unafiki ndani ya mapenzi yenu...

Kinachowaponza ni ile hali ya kupenda kulinganishana na kuringishiana...



Cc: mahondaw
 
Baba p sasa mtu ukijisimamia ukaonesha msimamo utaibwaje? ? Au tamaa tu ya kuchovya chovya
Ila na nyie jamani! Mtu una mke mzuri mpole hana makuu kabisa yani vile vitu vyako naeza sema mulemule nini cha ziada unachohangaikia??
Hahah in fact hamtakiwi kupendana. Mkipendana ndio mnazoeana kisha mnaibiana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesomea nae kwanzia o level hadi chuo

Ukitombi siwezi bisha maana ni mwanaume na muda wote sipo nae Kwahiyo sijui ayatendayo!!

Sina maringo wala kudeka, kuhusu kumtaka ni mwanamke ndio aliyemtaka if I could be able to post those screenshots ungesema we mwenyewe, txts ni nyingi moja wapo kama hizi
“Shem Upo? Za siku? Kuna vitu nataka nikuambie”
“Shem nakupigia Uko busy kama Uko Free naomba tutoke niko bored”
“Shem tunaweza kwenda kunnywa wine pamoja”
“Shem unabody nzuri shoga angu anafaidi”


Msgs ni nyingi, na nilipomrudia alivyokua ananijibu ni kama alijiandaa hivi Incase nikijua ukweli, maana hadi voice note zake alinitumia nikamforwadia ye mwenyewe bidada ajikane[emoji28][emoji28] alichonijibu tu kwahiyo natakaje[emoji23][emoji23]jamani


Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!

Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post

Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kuwa kutokumuamini yeyote yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadilika.

Huyu aliyekuwa rafiki yangu ni wa muda mrefu sana Yani sana almost 5+yrs, katika urafiki wetu tumepitia/tumefanya mambo mengi, mazuri na mabaya.

Mwaka jana nilibahatika kupata mwenza na nilimshirikisha from the scratch of our relationship btn me and the bbydady, kwa kuwa ni rafiki yangu wa karibu na ninamjua wake sikuwa na hiyana kumtambulisha kwa mtu wangu, kumbe ndio namkaribisha nyoka mwenye sumu kali

Kilichofanya nigundue, kwanza ni Mungu tu pili mwaka jana hiyo aliweza kuwasiliana na mtu wangu bila mimi kujua baada ya kujua nikamuweka mbali yangu, na Mr pia nikamwambia sitaki wawe na mazoea tena.

Sasa baada ya kuona sipo close naye tena as we used to be, na nikahama kabisa mkoa sikumtafuta wala kumwambia chochote kunihusu, ndio kumtafuta bbydady wangu na kumwambia vitu vya uongo kuhusu mimi kuanzia February hadi March, hapo mimi Sijui chochote kinachoendelea, na wote wako mbali na mimi!!

Nikatumia technic kumpigia mwanamke kwanza nikamwambia nimeona mawasiliano yenu hadi picha ulizokuwa unamtumia (hapo Sijui chochote) kweli bi dada akaanza kujing’atang’ata japo alikataa hawajawasiliana tangu mwaka jana, sikumpa nafasi, muda huo huo nikampigia bbydady nikamwambia nimejua ukweli wote nachotaka nikusikia upande wako maana mwenzako keshakubali mnawasiliana na msgs zako kanitumia, kweli bbydady naye akajaa akanimwagia ukweli wote hadi screenshots zao!!! Dah’ hii pia ni siku mojawapo niliyowahi kuumia zaidi hapa duniani, bi dada kajimaliza yote ya ukweli na uongo in short mambo ni mengi, hadi alitaka kumpa tigo bbydady (ukweli wanaujua wao japo mwanaume kakataa hajawahi kumla)

Nyie mliokuwa mnauliza maybe kanizidi viwango, hakuna chochote alichonizidi ningeweza kuweka picha ila ni kwaajili tu ya privacy

Bbydady nishamsamehe maana ndio tunatarajia kupata mtoto panapo majaaliwa, ila urafiki na huyo bidada ndio kwishnehi.. nimemblock kote, mengine nimemuachia Mungu mwenyewe atende kama ambavyo alitaka nijue pasipo wao wenyewe kufahamu!!

Cha mwisho, tusiwaamini sana rafiki zetu hata ndugu muda mwingine, haijalishi mna muda mrefu kiasi gani au mambo mangapi mmefanya pamoja, Mimi huyu alivyonibadilikia hadi sasa naona naota[emoji1][emoji1] Pia kufunguka kila kitu kwa marafiki sio poa hujui la moyoni mwake, nimejifunza pakubwa, nililazwa kwa muda ila sasa naendelea poa mimi na kijacho wangu

Muwe makini sana aiseee!! People change...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa yako hakuupenda urafiki wenu, alikusihi ila ww ukamtetea huyo rafiki yako,

Huwa wanaume tuko ivo tukiwakataza mnabisha na mnafika mbali mwishowe mnatujia juu et usinipangie marafiki[emoji23]

Ndo hapo tunatumia mbinu hii ya kumuweka karibu rafiki yako na kumtengenezea mazingira ya kuliwa na hawez ruka kwenye 18,

Ukianza kuhisi ukaribu wenu utaisha na ukigundua ndo vile urafiki wenu kwisha[emoji16]

Nampa Hongera Mwamba,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ni Bora uwe na rafiki wa kiume kuliko wa kike Mimi sahiv nmefikia kwenye stage ya akijua vee itakuwaje najua nimekaribia kuarchieve my goal na nimashost hao ohoooo

Sent from my I phone
 
Yote yanawezekana[emoji28][emoji28] maji nishayavulia nguo sina budi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Daaah upo tayar kuona ana mchepuko?
Ebu njoo pm nikuambie Kitu

Sent by IPhone
 
Kwasasa nilipo yeye ndio kila kitu, siwezi kukurupuka kuachana nae na keshanionesha vihakiki vyote vya mm kumsamehe wao kuwasiliana, hayo mengine yatafata baadae mtt akishazaliwa kwasasa nimeamua kutuliza akili yangu tu nimemsamehe kiroho safi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Powerful
 
Kitu pekee nilichoshindwa ni kuwa na rafiki damdam,,,yaani urafiki wa hivi ulinishindaga
Sijawahi kuwa na rafiki wa hv na sitakua nae
 
Back
Top Bottom