Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 623
Hii ni moja ya faida ya kufika kileleni [emoji23]
Hekaheka zitapungua ukipata mtu sahihiMahusiano yana heka heka nyingi,, unakuta unampenda mtu kumbe ye anapenda hela zake [emoji1787]
Ama mtu anakupenda kwa hisia ila anashindwa kukupenda na matendo yake.
Mara umependwa na mtu ambaye humfeel
Heee heka heka ni nyingi sana.
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Bahati mbaya sana wanaume tunakwenda kupoteza identity yetu, wanaume wengi siku hizi kama mabintiYaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Hapa umeharibu mbayaa!Ni kweli kabisa my love.
Ninasikitika hata sio mpenzi wangu💔💔
Kwa siku ile nilitamani awe karibu yang maana nilikuwa mpweke kuliko kawaida 🥺
Angejua kuwa anaitwa "kidada"Ni kwel
kUna kidada kiliachika vibaya sana na kikanyang'anywa watoto,kilitokea kuwachukia wanaume sana,kikawa busy na kazi tu wanaume akiwapendi tena,tena kikisikia mwanaume anakiambia inshu za kukioa kinachukia balaa
Kimeishi hvyo muda mrefu sana,na mimi baada ya mke wangu kuhamia mbali na mimi nikawa nakiangalia tu na kifatilia nyendo zake siku moja nikakitokea kikakubali ila sikuwa na haraka ya kuomba mbususu,kametokea kunipenda sana mpaka kanajishangaa kuwa imekuwaje wakati nilikuwa nimeapa sitakuja kupenda tena na hawez kuwa na mume wa mtu lakin ndo hvyo limoyo limeshanidondokea
Siku moja nikajikuta nimemuita mke wangu,yaan kumuita alipagawa balaa,sahv hawez kuandika sms pasipo kuweka neno mume wangu,anasema amejikuta amekuwa ni mtu mwenye furaha sana
endelea tu ni siku na saa isiyojulikana[emoji1666]Mnipe sasa jamen
Tunajifanya ukomando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni ngumu tunajikaza tu
Toka zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maswali kama hayo, hata akikuuliza mzazi, nduguyo au rafiki inatosha