Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Khe nyie mpaka taa mnaita mtu???
Mimi mpaka holder ya taa nafunga mwenyewe.
Ndani kwangu kuna tester na vifaa vingine kama bisibisi nk.
Ila yote kwa yote wanaume wanahitajika sana(wanaojielewa lakini).
Siwezi kubadili kuta ni ndefu,but kuna dogo nae wa kike hii kazi anaiweza ashindwi kitu akirudi likizo labda,
 
Yaani haya?
1. Hunie/honey😘
2. Sweetheart😍
3. Darling❤
Au sijaelewa mimi?🤣🤣🤣
Ewaaaaa🤣🤣🤣

Maana nilianza kushangaa mbona dada asubuhi asubuhi kyee
 
Sasa nitoke wapi na feminist kama Joyce? wakati watoto wanyenyekevu wapo?
Nikikosa kabisa nitamuomba dadangu
Chakorii anitafutie wale wakisalimiwa vizuri Yeriko inazizima kwa nderemo🤣🤣🤣
Umeshakosa ndugu yangu kaka Glenn nianze kukutafutia?
 
Mambo yangu ni ya kizungu nafanyia peupe dunia ikiona...
Afrika ukichumbia su ukiwa na mpenzi...kipimo kizuri mshike mkono hadharana, mhug au mkiss hadharani.
Ukiona yuko huru na haogopi ujue kweli ameamua kuwa na wewe...vinginevyo atatoa sababu na kukwepa kushikwa mkono.
Hapo ujue mnapangwa.

Chakorii mimi nami natafuta hadharani siogopi kwakuwa sina mtu hapa😆😆
Umeandika Kwa uchungu😁😁
Sawa kabisa nimekuelewa vyema.

Nilijua sina mtu humu ndani peke yangu😁😁

Kaka ninaionaga miandiko mingi ya wadada ikikuzungukia halafu unaniambia huna mtu wea😀😀
 
Kila mtu ana nafasi yake, Ni vizuri umelitambua Hilo... hongera
 
Umeandika Kwa uchungu😁😁
Sawa kabisa nimekuelewa vyema.

Nilijua sina mtu humu ndani peke yangu😁😁

Kaka ninaionaga miandiko mingi ya wadada ikikuzungukia halafu unaniambia huna mtu wea😀😀
Maua hayana nyuki lakini huzungukwa na nyuki🤣🤣🤣🤣
Hao ni rafiki na adui zangu wa chitchat.
Sio kila anayekuchekea ni rafiki🤣
 
Maua hayana nyuki lakini huzungukwa na nyuki🤣🤣🤣🤣
Hao ni rafiki na adui zangu wa chitchat.
Sio kila anayekuchekea ni rafiki🤣
Haya maneno yanatoka katika kitabu kipi ndani ya Biblia?ni mazito kiaina😆😆😆😆😆
 
Yaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Zidumu hisia shupavu za kuthamini uanamume wa mwanamume. Wanaume woyooooo
 
Back
Top Bottom