Maswali kama hayo, hata akikuuliza mzazi, nduguyo au rafiki inatoshaNilikuwaga singo nikasema sitaki kitu kinaitwa mahusiano nijikite kusaka pesa ndiyo itakuwa furaha yangu
Dadeq, hata wa kukuuliza babe biashara inaendaje hakuna,na shida inaanzia hapo![]()
MY secret keeper una nini lakini? Si unajua namaliza mwaka kibabe 💪💪💪💪 Single and happy...
Okay kama utakuwa tayari nije chimbo kwako 😉Unapoona ni sahihi tafadhali uliza
Hakuwa mmubebez mwaya.Lol nilihisi ni mubebezz dear sio mbaya pia!
Hata hivo pia alitumika tu kama njia kuja kukupatia hio furaha kwa wakati huo ambao ulihitaji kusikia hayo maneno!!
Hiyo love unaweza elekeza hata Kwa wazazi, ndugu jamaa na marafikiMnawezaje kuishi single?
I can't...I got so much love to give.
Good, hongera sanaAm surviving. Thanks😍
Wanasikilizia hizi sifaWamekaa kwa utulivu balaa![]()

Upweke cuteHakuwa mmubebez mwaya.
Baada ya kusoma ujumbe wake nilicheka sana(Sijui kwanini)nilifurahi sana….nikalia sanaaaa..halafu nikajifungia ndani nikalewa Sanaa mpka nikazima.nakuja kustuka mlango unagongwa kama unataka kuvunjwa.
Sijui kwanini siku ile nilikumbwa na ile hali.ninajiuliza mpka sasa sipati jibu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilikuwaga singo nikasema sitaki kitu kinaitwa mahusiano nijikite kusaka pesa ndiyo itakuwa furaha yangu
Dadeq, hata wa kukuuliza babe biashara inaendaje hakuna,na shida inaanzia hapo![]()
Kila la kheri ktk penzi lako jipya.Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Mhhh! Zawadi na marupurupu ya mwaka mpya yametiki, sio Bure hapaYaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Mibichwa imevimbaaaa
Bado tu kupasukaMibichwa imevimbaaaa
Mimi nasema wasibarikiwe😳😂walivyowalevi kabla hawajalewa watakunyoosha cute
Kama unaniuliza hapa niulize,kama unaniulizia huko chimbo unakokusema tafadhali niulizeOkay kama utakuwa tayari nije chimbo kwako 😉