inaonesha karibu kila mwanawake ambaye amefika umri wa kuolewa lakini bado hajaolewa, automatically huwa anakosa furaha moyoni?Ee bhana,ndo ukweli....mume ni wa muhimu sana
Kwan sasaivi hupigwi ukuni mkuu?Yeah,mi kitakachoniingiza ndoani ni kupigwa ukuni na mume wangu,yeye pekeyake daima
Usipite huku mkuu, nitajisahau niongee maneno ya kikubwa then itakuwa tabuUzi mzuri sana




Nami nimekua sikuhizi😂Usipite huku mkuu, nitajisahau niongee maneno ya kikubwa then itakuwa tabu![]()
Unaingia mara ya ngapi to yeye?Yeah,mi kitakachoniingiza ndoani ni kupigwa ukuni na mume wangu,yeye pekeyake daima