Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,570
- 94,863
Wazoee hivyo hivyo waongo haoWaongo,wananiahidi ivoivo hawatekelezi
Wazoee hivyo hivyo waongo haoWaongo,wananiahidi ivoivo hawatekelezi
Mmmmwaaaa...safi sana" Mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu".
Mwisho wa kunukuu
Am surviving. Thanks😍Hey uko salama wewe?!
Unapoona ni sahihi tafadhali ulizaSiyo hapa lakini 😉
Mnawezaje kuishi single?Nilikuwaga singo nikasema sitaki kitu kinaitwa mahusiano nijikite kusaka pesa ndiyo itakuwa furaha yangu
Dadeq, hata wa kukuuliza babe biashara inaendaje hakuna,na shida inaanzia hapo![]()
Kwanza umenizeeshaHakuna kikwazo katika maisha ni maamuzi na kuchukua hatu tu sc
Lol nilihisi ni mubebezz dear sio mbaya pia!Ni kweli kabisa my love.
Ninasikitika hata sio mpenzi wangu💔💔
Kwa siku ile nilitamani awe karibu yang maana nilikuwa mpweke kuliko kawaida 🥺
😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwanza umenizeesha
Pili umeniita dada..
Ndugu mwanajf mwenzangu hivi ni vikwazo
😁
Enjoy to the fullest dearrr 😘😘😘!!Amina cute❤
Ndio uanaume unacho hitaji kusikia kutoka kwa mwanamke. Hapo to yeye angeweka hata namba yake ya mpesa naamini mwakampya wake ungekua poa sanaBasi wanaume wa JF wamefurahi hao.
Amen amen dear ...wabarikiwe na kuzidishiwa maraelfuuu na waishi maisha marefu sana milele aminaaaa !Kabisa,Mungu awabariki wanaume wa ivi