nemic4u
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 445
- 300
Ukweli mchungu huuKwamba kuanzia tar.23 hadi tar.2 aliyeko single anaweza kuwa mpweke kufwaa, aliyeko occupied anashughulisha viungo vyake balaa.š¤£
Ukweli mchungu huuKwamba kuanzia tar.23 hadi tar.2 aliyeko single anaweza kuwa mpweke kufwaa, aliyeko occupied anashughulisha viungo vyake balaa.š¤£
Perfect! So mature!Mi siwez cute,sishindani na mwanaume asiyejitambua...namwacha aendelee na maisha yake
Mtoe huko ulipomficha basiHayupo humu
Nadhani unawajua wanaume ni ngumu sana kuappriciate kama hivi, ila tunajua umuhimu wenu.Wa nataka mjue umuhimu wetu pia
AleluyaaYaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.[emoji120]
Naona Kuna mtu amekataa kufa.. [emoji23][emoji23]mvua imepamba moto
VyoteUnanena au unawaza?