Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Hujakutana nao? 😂😂😂
Nimependa Hilo neno,nimetafakari Sana,nikagundua kweli hao watu wapo. Hasa sisi wanaume,huwa tunaficha hisia za kupenda ili tusije kuonekana Kama mmetukamata.
 
Aah rafiki angu wewe unakurupuka [emoji2][emoji2][emoji2] nimesema hivo maana tangu huu mwaka uanze humu JF kuna thread mingi za kuponda wanawake

So nikasemea kupitia hio comment waache kutusemea vibaya waige mfano wa To yeye

Haya umeelewa sasa [emoji2][emoji2]
Nilikuelewa vizuri sana lakini nilikutania tu kuwa ukiwa chumbani na anayeimwagilia chemchemi ya furaha rohoni mwako(Me), basi nawe uwe na haiba ya kike wala si kama Ke toka pande zile [emoji56]

NB:

Hatufanani tabia, wanaoponda kuhusu Ke soma post 332.
 
Nijuavyo mimi kuqa wanawake wa kisukuma ni wanyenyejevu na bora zaidi.
Kwa koment hii itabidi nibadili mtazamo
Wasukuma ni wanyenyekevu hilo sijakataa lkn ukimfanyia ushenzi ikafikia hatua amechoka. Kitakachofuata
Eeeh lbd sio msukuma naemjua mim.
 
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Sema mnara wako ujengwe wap??
 
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.[emoji120]
Amen
 
Sina cha kuongezea hapa...uko right madam ticha...we do need right partners in our lives...kuna namna maisha yanakua afadhali kias chake.
 
We unafikiri singo maza hawapendi kuwa na waume zao? Shida ni sisi wanaume ndo hatupendi kuoa singo maza ni wanaume wenzetu wachache sana walio bahatika kulogwa ndo wameoa
Kulogwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom