Tatizo una heka heka nyingi mwanangu😅Ukifikishwa kibo na mawenzi🤣 wanaume wote unawaona malaika
Siku akikuvuruga unaona wanaume wooote mbwa tu, tena mbwa vichaa.
Uzinzi ni dhambi...Ni kwel
kUna kidada kiliachika vibaya sana na kikanyang'anywa watoto,kilitokea kuwachukia wanaume sana,kikawa busy na kazi tu wanaume akiwapendi tena,tena kikisikia mwanaume anakiambia inshu za kukioa kinachukia balaa
Kimeishi hvyo muda mrefu sana,na mimi baada ya mke wangu kuhamia mbali na mimi nikawa nakiangalia tu na kifatilia nyendo zake siku moja nikakitokea kikakubali ila sikuwa na haraka ya kuomba mbususu,kametokea kunipenda sana mpaka kanajishangaa kuwa imekuwaje wakati nilikuwa nimeapa sitakuja kupenda tena na hawez kuwa na mume wa mtu lakin ndo hvyo limoyo limeshanidondokea
Siku moja nikajikuta nimemuita mke wangu,yaan kumuita alipagawa balaa,sahv hawez kuandika sms pasipo kuweka neno mume wangu,anasema amejikuta amekuwa ni mtu mwenye furaha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaah.Mahusiano yana heka heka nyingi,, unakuta unampenda mtu kumbe ye anapenda hela zake [emoji1787]
Ama mtu anakupenda kwa hisia ila anashindwa kukupenda na matendo yake.
Mara umependwa na mtu ambaye humfeel
Heee heka heka ni nyingi sana.
Ni tafrani tu.Halafu wewe Depal nimekutafuta hata tukae Sumni Tengeru pale tunywe mbeghe na lite umeingia mitini.Haya kimbia kama Kipchoge wa KenyaMahusiano yana heka heka nyingi,, unakuta unampenda mtu kumbe ye anapenda hela zake [emoji1787]
Ama mtu anakupenda kwa hisia ila anashindwa kukupenda na matendo yake.
Mara umependwa na mtu ambaye humfeel
Heee heka heka ni nyingi sana.
Dare basi ubadili 😃😃😃Nijuavyo mimi kuqa wanawake wa kisukuma ni wanyenyejevu na bora zaidi.
Kwa koment hii itabidi nibadili mtazamo
Nishawafuta naelekea safarini mpwapwa kwanzaDare basi ubadili 😃😃😃
🏃🏃 PM.Juzi kuna mtu nimemtakia heri ya Christmas….majibu aliyonirudishia ….jamani pande za yeriko zilipasuka Kwa furaha.
Kuna wakati tu Nahitaji pia maneno mazuri,kukumbatiwa(unajihisi Uko salama)kupelekwa dinner sehemu na mengineyo mazuri mazuri.
Kuwa singo kuna ubaya na uzuri jaman
takupasua muone😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nishawafuta naelekea safarini mpwapwa kwanza
u are welcome sweetheeartNishawafuta naelekea safarini mpwapwa kwanza
u are welcome sweetheeart
UTawezana lkn?takupasua muone😂😂😂😂😂😂😂😂😂