Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

ni wanaume wenzetu wachache sana walio bahatika kulogwa ndo wameoa

Mmh! Waliobahatika kufanyaje?
images-506.jpg
 
Mahusiano yana heka heka nyingi,, unakuta unampenda mtu kumbe ye anapenda hela zake 🤣

Ama mtu anakupenda kwa hisia ila anashindwa kukupenda na matendo yake.

Mara umependwa na mtu ambaye humfeel

Heee heka heka ni nyingi sana.
Na pressure kubwa huwa mnaipata pale unapokuwa na mtu anakufikisha kileleni lakini hana hela, na mwenye hela kitandani hana mambo..!!
Mnachanganyikiwaga sana na hamjui yupi apigwe chini
 
Ameeeennn.. Abarikiwe na azidi kukupa furaha dear kuna mtu ukiwa nae unaona kabisaaaa I'm in a safe place na you feel proud kuwa nae kwa si kwa maneno yake tu na matendo pia!!
Ni kweli kabisa my love.
Ninasikitika hata sio mpenzi wangu💔💔
Kwa siku ile nilitamani awe karibu yang maana nilikuwa mpweke kuliko kawaida 🥺
 
Back
Top Bottom