Masumbuko r bilali
Senior Member
- Dec 27, 2012
- 158
- 35
Bear in mind, mwalimu wa diploma ki kanuni yampasa kufundisha kidato cha 1 na 2, na degree cha 3 na 4
waambie mkuu naona wenye degree za kikuda wako wengi
Bear in mind, mwalimu wa diploma ki kanuni yampasa kufundisha kidato cha 1 na 2, na degree cha 3 na 4
na we ni degree?
unachekesha sn, tatizo mnasolve sn past paper za nacte ndo maana application ya mlichokisoma mnakuwa poor! Mimi nimesoma diploma shycom tc so naongea ninachokijua! Ni kweli diplm mnasoma kila somo content na methodology lkn when we come to application sioni maujanja yenu!
Mnaongoza kwa kutunza portifolio lkn mnafanya hivyo ili kupata marks za mwisho lkn unajikuta hakuna unachokijua! Hata modality ya presentation zenu hazina changamoto yyt!!
Nimezungumzua mitihani coz nimepitia mitihani iliyoandaliwa na walimu wa diplm yaan unashindwa kujua huyu mwalimu alikuwa anapima nini!! Yaan hata ukitaka kucompute discrimination index unakuta inakupa negative hii ni ishara tosha kuwa mtihani hauko standard.
Tunajua mmeyasoma mengi ila tunataka tuone yakitendeka! Umesoma reliability and validity of test halafu test zako zinakosa reliability and validity halafu unaleta hadithi hapa sijui measurement and evaluation kitu ambacho hata a form six student anaweza akaongea!
Tutakutana nyanjani ndo utajua tofauti ya degree na diploma!
wewe mwalimu au Mkaguzi?.
Bear in mind, mwalimu wa diploma ki kanuni yampasa kufundisha kidato cha 1 na 2, na degree cha 3 na 4
degree kitu kingine Mzee,kuilinganisha na diploma ni sawa na Haruna Moshi Boban umfananishe na Di Maria
mm nawaona wote n maboya tu mnaobishana kama unabisha endeleeni kubisha niwaoe niwatengenezee hela
2kutane mara ngapi mkuu?.. Interview zenyewe prvt sector lazima msubiri!.. Watishe ambao hawajui mkuu tofaut ya dip na degree jina tu!, tumepga na nyny tp watu wa Ruko, jordan, st John. May be wenze2 mko vzr kwnye kuvaa milegezo
wadogo zangu diploma, nyie ni weupe, hamjaiva na hamwezi kulingana na degreee hata iweje, nifundisha na mwaka sasa tena curr teaching, mnachosoma kwenye curr hakifiii level ya degree mnasoma theory, teaching practice na baadhi ya vitu. kuna vitu vinaitwa PRO TYPE hakuna diploma anaesoma hata kwenye sylabus havipo, pia course design practical no one, so diploma ni wazur ktk nidhamu ya woga, lakini pia kufundisha form one and 2...msjalibu kulinganisha degree na diploma...degree ni Universal Education.
tabia za walimu wenye degree mnapokuwa field ni kama za form two C. Maana ni vilaza katika kuandaa azimio la kazi,andalio la somo na nukuu za somo.
sasa waambie ubishoo na usista duu.nashangaa mnavyojitapa hapa.
mfano mzuri ajitokeze degree na diploma wanaomba kazi shule ya private ndo utajua nani aidi.
degree ninayemkubali ni aliyetoka diploma akajiendeleza.