Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Watu wanapngelea interest tu hapa, ila wenye degree wana content za kutosha sana, diploma pia ni wazuri kwa sababu wao wamesoma vitu vidogo vidogo ambavyo ndio wanafundishia, degree wanasoma vitu vingi mno na kwa undani sana, japo baadhi ya topics hawawezi kufundishia katika shule zetu hasa kwa level ya o level na advance level: mfano mdogo waliosoma BSc topics zifuatazo za chemistry na biology hazitumiki mahala popote pale stereochemistry, entomology, medicinal chemistry, parasitology, na zingine nyingi......
 
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili

Diploma ni zaidi hasa kimaadili kwa kuwa huandaliwa kuwa walimu. Nakumbuka wakati nikiwa chuo wale wa BAED wakiitwa walimu wanakataa wakidhani unawadhalisha, lakini kule diploma kuitwa mwalimu ni fahari.
 
diploma kuna proffessional subject 8, na teaching subject 2.,
1: Education Media and Technology (EMT)
2: Information and computer technology (ICT)
3:Reserch evaluation and mesurement (REM)
4:Curriculum teachng ( CT)
5:Foundation of education(FED)
6: Pschology Guidance and counsellin(PGC)
7:Communication skills(CS)
8:development studies(DS),, Kama kuna jipya kwa BAED mtujuze kwa hoja.....
Degree na diploma sawa na mbingu na ardhi. Dip ardhi degree mbingu. Hoja
1. Sifa za kujiunga minimum entry point; dip one credit, degree two
2. Muda wa mafunzo, degree 3, dip 2yrs
3. Tutors' qualification, dip at least bachelor degree, degree at least master degree
4. Idadi ya professional course, dip 8 course, degree 24
5. Course content on professional course, dip in average while degree more deeper.
6. Educational cost. Diploma only 4 millions, including fee, btp, meal and accommodation while degree almost 12 millions
Nb. Degree na diploma ni sawa na mbingu na ardhi
 
Twendeni tukagange njaaa porojo mingiiii za nini, dah walimu wa history na kiswahil banah?
 
Nia yako ni nini? Unapoongelea elimu unaongelea individuals..uwezo wa mtu mmoja mmoja.

Mimi nina ndugu yangu Mwalimu wa degree kwa kweli ni msiba,,, hata kuandika barua tu ya kuomba kazi hajui,,, alinitumia barua yake ili niifanyie editing kwa kweli sikuweza il nilichofanya ni kuifuta yote na kuandika upya.. na wengi tu walimu wako hivyo sijui kwa nini unakuta mwalimu hata kuandika barua hajui... elimu za kukariri shida aisee
 
Mimi nina ndugu yangu Mwalimu wa degree kwa kweli ni msiba,,, hata kuandika barua tu ya kuomba kazi hajui,,, alinitumia barua yake ili niifanyie editing kwa kweli sikuweza il nilichofanya ni kuifuta yote na kuandika upya.. na wengi tu walimu wako hivyo sijui kwa nini unakuta mwalimu hata kuandika barua hajui... elimu za kukariri shida aisee

wewe unaelimu gani?
 
Soma ww kaongeze elimu usitafute pa kujifichia.. Hukuwa na qualification ya kwenda university ndo maana uko diploma lkn ss unaweza ukatumia hiyo stashahada yako kujipatia shahada.. Usijaribu kujitapatapa ujue ckuiz diploma hata digree inakosa uzito wake so better keep on studying.. Tafuta kwanza shahada mfn ya udsm uone ilivokuwa ngumu kupata
 
Soma ww kaongeze elimu usitafute pa kujifichia.. Hukuwa na qualification ya kwenda university ndo maana uko diploma lkn ss unaweza ukatumia hiyo stashahada yako kujipatia shahada.. Usijaribu kujitapatapa ujue ckuiz diploma hata digree inakosa uzito wake so better keep on studying.. Tafuta kwanza shahada mfn ya udsm uone ilivokuwa ngumu kupata

Nikwel kwa wengi hawana vigezo ndo mana wapo dip but wengne wanavigezo tena vikubwa tuu but waliamua tuu kwenda uko kwasabab tofautitofauti but ilo lako sio Jibu lamoja kwa moja an.
 
Hata nyie wajinga mnaoleta ubishi mnatamani mngelifikia shahada lkn hamkuweza.. Upuuzi huo.. Eti ufananishe UDSM na Monduli..hahahaaa!! Something so funny.. Keep on studying vijana kadiploma so level toshelezi kielimu..
 
Kajitu kanasoma kanachapwa stick kananyeshwa poridge bado eti na kenyewe kanajiona kako sawa na mtu wa digree.. Size yenu ni A-level ila mmewazidi kdg kwa vijikozi vya ualimu tu.. NDO MAANA MTU WA DIGREE ANAWAFUNDISHENI WOTE
 
Unekurupuka brotha hujatumia hata 1% of your IQ. Degree ni mwalim wa diploma teheheheee
 
In short ni kwamba MTU wa dip alifeli hakuwa na qualification za kujiunga university hivi kunamtu asiyependa kuitwa mwanachuo TENA UDSM chezea boom!!
 
mimi nina ndugu yangu mwalimu wa degree kwa kweli ni msiba,,, hata kuandika barua tu ya kuomba kazi hajui,,, alinitumia barua yake ili niifanyie editing kwa kweli sikuweza il nilichofanya ni kuifuta yote na kuandika upya.. Na wengi tu walimu wako hivyo sijui kwa nini unakuta mwalimu hata kuandika barua hajui... Elimu za kukariri shida aisee

huyo ndugu yako hata angeenda dip akili ingeendelea kuwa ile ile usije ukadhani anashindwa kwa sababu ya degree. Barua zinafundishwa tangu primary. Kwanza level ya degree sijaona kozi inayofundisha uandishi wa barua
 
Unahitaji elimu zaidi wewe, umeambiwa degree anasomea elimu na diploma anasomea ualimu, kitu kingine unanionesha kuwa hujui tofauti iliyopo kati ya administrator and manager, hapa ndipo tunapopishana. (Kwa lugha ya layman, administrator=mfanyakazi na Manager=bosi)
Ameshakuelewa mkuu
 
Mwalimu wa dip ndo mwalimu, hawa wengine wakiingia class huwa wanatoa mhadhara badala ya kufundisha. Hata ki maadili hawa sio walimu
 
Back
Top Bottom