Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

wadogo zangu diploma, nyie ni weupe, hamjaiva na hamwezi kulingana na degreee hata iweje, nifundisha na mwaka sasa tena curr teaching, mnachosoma kwenye curr hakifiii level ya degree mnasoma theory, teaching practice na baadhi ya vitu. kuna vitu vinaitwa PRO TYPE hakuna diploma anaesoma hata kwenye sylabus havipo, pia course design practical no one, so diploma ni wazur ktk nidhamu ya woga, lakini pia kufundisha form one and 2...msjalibu kulinganisha degree na diploma...degree ni Universal Education.

waambie hao madogo wanapima bahari kwa kidole, degree anafanya kazi taifa lolote sasa waende na diploma zao kimataifa km hawajarudi mikono nyuma! Degree ndo tunaoandaa mitaala madogo ni weupe ila wanajifanya kutunisha misuli hapa!
 
walimu wa diploma wanapata kazi private school coz mnapewa mshahara mdogo pia walimu wa degree hawapendi kubuluzwa coz hatukufundishwa nidhamu ya woga ya kufanya mambo kwa kusikiliza kengele.

Km huwa unajidanganya kuwa ni content ndo zinawafanya muajiliwe basi upo nyuma ya wakati! Sekta yoyote degree holder anaogopwa coz kwanza lazima umpe mshahara mkubwa pia hapendi kuburuzwa kwenye haki.

Amka dogo umeshatoka bwenini

degree gani usiyekuwa na market hata east africa halafu unajigamba humu kumbe ovyo
 
Wee degree unapifwa bao kimaisha na grade A xa degree yako ikusaidie kufanikiwa co mbwembwe....
 
Natumaini alietoa huu uzi alishaenda kufaenda kufanya bachelor mana kipindi hicho alikua na kadiploma tu, basi akawa anatafuta namna ya kujifariji nako.
 
nyie bishaneni turn Mimi tar 30,nachukua 510000 wakati dip unachukua 370000,Lakini pia walimu wa diploma hawako na ujasri huburuzwa name wakuu wehuuuuu.

Mwalimu wa degree unachukua mshahara wa 510,000 na diploma 370,000 halafu mnaleta malumbano yenu hadharani! Kweli nimeamini ukifundisha mtoto kuna wakati akili zenu wote zinakuwa sawa.
Hivi kabla ya kutambiana humu mmewahi kujiuliza mshahara wa degree holder wa fani nyingine ni Shilingi ngapi kwa mwezi?

Hebu fanyeni utafiti kwanza nadhani mtaacha huu ujinga wenu wa kitoto kutambiana kwa vijielimu vya lugha ambayo hata mbwa ana lugha, vijimishahara mbuzi ambavyo kwenye fani nyingine mtu mwenye FTC tu anawazunguka degree mara 2.5 na diploma mara 4. Tokeni kwenye kufikiri ndani ya box, hapo mlipo mmejaa madeni kwa kukopa maana bila hiyo hamtoki, mtakopa mpaka lini.

Mngetumia akili japo ya kondoo tu mngekutana humu na kujadili jinsi ya kuunda umoja wenye nguvu ili mdai haki zenu au hata kusomea fani nyingine kama wenzenu wengine wajanja ambao wamehama fani hiyo wanapiga maisha mitaani.
 
Tofauti ni kwamba mwenye digree ana mshara mkubwa na ana qualifications za kusoma masterz ila mwenye diploma mshahara wake ni mdogo na ili apate dgree ni lazima asote kwa 3yrz ili apate BAED. Lingine ni respect mwenye dgree anaruhusiwa hata kugombea urais ila mwenye diploma hana xifa za kugombea urais.

Sekta ya elimu imewashinda inaporomoka kila siku mtauweza Urais!
 
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!

Diploma ulifundishwa na walimu wa level gani?
 
Inategemea na mtu mwenywe usitegemee MTU ulikuwa shallow vidatoni eti umekwenda chuo ndo utakuw nondo never .
Ubora wa MTU ni toka awali alipokuwa anasoma chuo ni kufundishwa namna ya kudeliver,kusimamia,kuongoza na maadili
 
Mwalimu wa degree unachukua mshahara wa 510,000 na diploma 370,000 halafu mnaleta malumbano yenu hadharani! Kweli nimeamini ukifundisha mtoto kuna wakati akili zenu wote zinakuwa sawa.
Hivi kabla ya kutambiana humu mmewahi kujiuliza mshahara wa degree holder wa fani nyingine ni Shilingi ngapi kwa mwezi?

Hebu fanyeni utafiti kwanza nadhani mtaacha huu ujinga wenu wa kitoto kutambiana kwa vijielimu vya lugha ambayo hata mbwa ana lugha, vijimishahara mbuzi ambavyo kwenye fani nyingine mtu mwenye FTC tu anawazunguka degree mara 2.5 na diploma mara 4. Tokeni kwenye kufikiri ndani ya box, hapo mlipo mmejaa madeni kwa kukopa maana bila hiyo hamtoki, mtakopa mpaka lini.

Mngetumia akili japo ya kondoo tu mngekutana humu na kujadili jinsi ya kuunda umoja wenye nguvu ili mdai haki zenu au hata kusomea fani nyingine kama wenzenu wengine wajanja ambao wamehama fani hiyo wanapiga maisha mitaani.

Daaa Mkuu umenena anii umemaliza kabsa.
 
degree gani usiyekuwa na market hata east africa halafu unajigamba humu kumbe ovyo

diploma wewe unasoko SADC! Kweli ukiwa na elimu ndogo hata uwezo wako wa kufikiri unakuwa mdogo! Kapige shule dogo acha kujifariji hapa. Wewe imba tarabu zako ila ukweli unaujua kuwa kwa sasa ili uweze kusikilizwa km msomi ni lazima uwe na elimu ya degree na kuendelea sasa wewe jifariji na kidiploma chako eti upo deep hahaaa! Hovyo kabisa nina wasiwasi wako na IQ yako!
 
Hili ndo neno lam ukweli… walimu wanatakiwa wawe wa1 sio kushindana na vijicenti vyao. Tabia za shule wawaachie wanafunzi waoTE=grafani11;12486258]Mwalimu wa degree unachukua mshahara wa 510,000 na diploma 370,000 halafu mnaleta malumbano yenu hadharani! Kweli nimeamini ukifundisha mtoto kuna wakati akili zenu wote zinakuwa sawa.
Hivi kabla ya kutambiana humu mmewahi kujiuliza mshahara wa degree holder wa fani nyingine ni Shilingi ngapi kwa mwezi?

Hebu fanyeni utafiti kwanza nadhani mtaacha huu ujinga wenu wa kitoto kutambiana kwa vijielimu vya lugha ambayo hata mbwa ana lugha, vijimishahara mbuzi ambavyo kwenye fani nyingine mtu mwenye FTC tu anawazunguka degree mara 2.5 na diploma mara 4. Tokeni kwenye kufikiri ndani ya box, hapo mlipo mmejaa madeni kwa kukopa maana bila hiyo hamtoki, mtakopa mpaka lini.

Mngetumia akili japo ya kondoo tu mngekutana humu na kujadili jinsi ya kuunda umoja wenye nguvu ili mdai haki zenu au hata kusomea fani nyingine kama wenzenu wengine wajanja ambao wamehama fani hiyo wanapiga maisha mitaani.[/QUOTE]

hapa
 
Acheni ubishi kwani. Naomba mtu mwenywe degree na diploma waseme ni nn au ni vitu gani mtu wa degree anasoma ambvyo wa sioloma hasomi na ni vitu gani wa diploma anasoma lakini wa degree hasomi ili tuone utofauti.....
 
diploma wewe unasoko SADC! Kweli ukiwa na elimu ndogo hata uwezo wako wa kufikiri unakuwa mdogo! Kapige shule dogo acha kujifariji hapa. Wewe imba tarabu zako ila ukweli unaujua kuwa kwa sasa ili uweze kusikilizwa km msomi ni lazima uwe na elimu ya degree na kuendelea sasa wewe jifariji na kidiploma chako eti upo deep hahaaa! Hovyo kabisa nina wasiwasi wako na IQ yako!

huna jipya degree ya kikuda
 
Back
Top Bottom