The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,426
- 12,160
Nadhani hao nyoka hawajakutana na watu wenye magogo yao wangejilaumu sana uwepo wao eneo hilo 😎 Sipatii picha yangewakuta😀😀
nilikuwa najifanya cjamwona akajitokeza vzr nkamchinja wenzang wote walkimbiaIlikuwaje mkuu..kakukosa kwenye mpododo?
Asante mkuu. we acha tu. sitaki hata kukumbuka..ilikuwa noma sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole mkuu
[emoji23] [emoji23]Nadhani hao nyoka hawajakutana na watu wenye magogo yao wangejilaumu sana uwepo wao eneo hilo 😎 Sipatii picha yangewakuta😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nilikuwa najifanya cjamwona akajitokeza vzr nkamchinja wenzang wote walkimbia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi mwenyewe naogopaAsante mkuu. we acha tu. sitaki hata kukumbuka..ilikuwa noma sana
Uangalifu [emoji736]uangarifu ni nini
.Hayo yapo kwenye mtandao tu, vyoo vyetu hao mende tu wanakimbia sembuse hao nyoka si watayeyuka
Hahah..Bora nikutane na simba kuliko hawo wadudu. Nafikiri mimi ndo mwoga zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi mwenyewe naogopa
Aisee...hawo jamaa wawili ni wapuuzi
Wote hao noma mkuu Prof:Hahah..Bora nikutane na simba kuliko hawo wadudu. Nafikiri mimi ndo mwoga zaidi
Eti jamani mbona tunatishana hivi ,hivi nyoka anaweza vumilia kukaa kwenye chemba kubwa apite hadi ndani kweli?Hao wamewekwa tu kwaajili ya picha. Hivi unafanya masihara na temperature ya mavi?
Sent using Jamii Forums mobile app