Tuwe waangarifu tunapoenda maliwatoni

Tuwe waangarifu tunapoenda maliwatoni

Hii itakuwa kwa wenzetu nchi za mbali ambao system yao ya maji taka inafika mbali. Kwa hapa kwetu ni ngumu maana chemba hazina bomba za kupeleka uchafu sehemu zingine. Ikijaa ni inaletwa gari ya kunyonya maji taka. Na chemba hizi ziko almost sealed kitu kuweza kuingia.
Hata hivyo tuwe waangalifu.
Ndio ilikuwa maana yangu hiyo
Hao ni ulaya
Lakini you never know
 
Kwanini MKUU "Smart911

Australia wanatabia ya kufuga nyoka kama vile wewe utakavyofuga mbwa au kasuku au sungura nyumbani kwako...

Kwa bahati mbaya kuna wale wamiliki wakishawachoka kufuga hao nyoka huwaachia tu warande rande, mwisho wa siku nyoka hutafuta hifadhi kwenye njia za maji na kuishia kutokea kwenye vyoo au wengine hupitia kwenye nyufa za nyumba zao za mbao na kutafuta hifadhi kwenye vyoo...

Ni matukio yanayotokea mara chache sana...

Cc: mahondaw
 
Mkuu; uzi murua kabisa. Nyoka ni mnyama mmoja very versatile.Hatabiriki unaweza kukutana naye wapi. Kwa vyoo hivi vya kwetu (Uswahilini) ambavyo miundo mbinu yake ni chakavu,imejengwa chini ya kiwango au ni ile ya kuchapia-chapia tu alimradi mtu aweze kujisitiri; jambo hilo linawezekana kabisa. Mtoa uzi umetutanabahisha tuwe na tahadhari kwani chochote chaweza kutokea au kuwepo. Mbona mende wanakuwepo? Tukianza kuhoji atapita wapi, ataingiaje n.k. wakati tunajua wengi wetu vyoo vyetu tunavyotumia aghalabu sio vya masinki kama yanavyoonekana hapo. Kinga ni bora kuliko Tiba. Hauhitaji kukutana naye mara nyingi ndipo iwe balaa. Mara moja tu inatosha kuwa ndo siku hiyo-hiyo ya kindumbwendumbwe na balaa kwako au mwana-familia yako. Chukua hatua, zingatia tahadhari.
 
Australia wanatabia ya kufuga nyoka kama vile wewe utakavyofuga mbwa au kasuku au sungura nyumbani kwako...

Kwa bahati mbaya kuna wale wamiliki wakishawachoka kufuga hao nyoka huwaachia tu warande rande, mwisho wa siku nyoka hutafuta hifadhi kwenye njia za maji na kuishia kutokea kwenye vyoo au wengine hupitia kwenye nyufa za nyumba zao za mbao na kutafuta hifadhi kwenye vyoo...

Ni matukio yanayotokea mara chache sana...

Cc: mahondaw

Asanteeeee
 
Ukiwa kwenye mazingira ya aina hiyo, mwaga bleach kabla ya kulala. Ilibidi nunua bleach kila weekend.
 
Kwa wanaume ndio hatari zaidi,lazima ung'atwe tu maana nyoka ataadhani kuna jiwe lina mjia kwahiyo lazima alitafune...
 
Back
Top Bottom