Tuwe waangarifu tunapoenda maliwatoni

Tuwe waangarifu tunapoenda maliwatoni

Australia wanatabia ya kufuga nyoka kama vile wewe utakavyofuga mbwa au kasuku au sungura nyumbani kwako...

Kwa bahati mbaya kuna wale wamiliki wakishawachoka kufuga hao nyoka huwaachia tu warande rande, mwisho wa siku nyoka hutafuta hifadhi kwenye njia za maji na kuishia kutokea kwenye vyoo au wengine hupitia kwenye nyufa za nyumba zao za mbao na kutafuta hifadhi kwenye vyoo...

Ni matukio yanayotokea mara chache sana...

Cc: mahondaw
Hiyo nchi aifai kutembelewa na wageni ni hatari sana kama hivyo unayoyasema kama ni kweli mkuu Smart911:
 
Mkuu; uzi murua kabisa. Nyoka ni mnyama mmoja very versatile.Hatabiriki unaweza kukutana naye wapi. Kwa vyoo hivi vya kwetu (Uswahilini) ambavyo miundo mbinu yake ni chakavu,imejengwa chini ya kiwango au ni ile ya kuchapia-chapia tu alimradi mtu aweze kujisitiri; jambo hilo linawezekana kabisa. Mtoa uzi umetutanabahisha tuwe na tahadhari kwani chochote chaweza kutokea au kuwepo. Mbona mende wanakuwepo? Tukianza kuhoji atapita wapi, ataingiaje n.k. wakati tunajua wengi wetu vyoo vyetu tunavyotumia aghalabu sio vya masinki kama yanavyoonekana hapo. Kinga ni bora kuliko Tiba. Hauhitaji kukutana naye mara nyingi ndipo iwe balaa. Mara moja tu inatosha kuwa ndo siku hiyo-hiyo ya kindumbwendumbwe na balaa kwako au mwana-familia yako. Chukua hatua, zingatia tahadhari.
Ahsante mkuu Kirumberumbe: kwa kulitambua hilo wachache sana... Wenye roho na moyo wa kutoa Shukran...NB;
Vyoo vya uswaz 65% ni vya shimo kwa hapa mjini... Vijijini 91% pia ni vya shimo kinachotakiwa umakini sana! Unaweza kwenda hata na tochi ukamulika kwenye shimo ukienda maliwatoni mkuu
 
Kwa wanaume ndio hatari zaidi,lazima ung'atwe tu maana nyoka ataadhani kuna jiwe lina mjia kwahiyo lazima alitafune...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimejaribu kuimagine huo mshtuko wake baada ya kugongwa huko.....Kama kapigwa bomba.
 
watu wengine hata kwenye vyoo vya namna hiyo wanapanda juu wanachuchumaa...so unamshtukia fasta tu huyo nyoka
 
Hizo picha wala sio za hapa TZ na ni adimu kutokea kitu kama hicho kwa hapa kwetu bongo.
Inatokea mbona. Nilishakuta nyoka bafuni kwenye sink la choo cha kukalia. Nikamuua, ikawa kila nikirudi usiku nasikia vitu vikikimbia darini. siku ya siku akatokea snake mkubwa..Nikatoka mbio. Nikaenda kupanga gesti...hata nguo niliwaagiza vijana wa ofisini wakanichukulie. sikutaka kupanga nyumba tena nyumba za kiswahili. Nilikaa gesti almost six months. project ilivyoisha...nikatimka.
 
Ahsante mkuu Kirumberumbe: kwa kulitambua hilo wachache sana... Wenye roho na moyo wa kutoa Shukran...NB;
Vyoo vya uswaz 65% ni vya shimo kwa hapa mjini... Vijijini 91% pia ni vya shimo kinachotakiwa umakini sana! Unaweza kwenda hata na tochi ukamulika kwenye shimo ukienda maliwatoni mkuu
Niliwahi soma andiko fulani kuwa "table salt" inasaidia sana kuwakimbiza hawa wadudu kwenye drainage hata ndani ya chambers, inatakiwa from time to time umwagie kiasi ktk vyoo then unaflash.

Lakini muhimu kabla hujakaa ni vizuri ukaflash na kuhakiki kama pako salama maana anaweza asiwe nyoka lkn imagine umekaa na haraka zako halafu mende kakurukia unaweza kufa kwa mshtuko.
 
Wewe kuna mtu alikua anaitaka nafasi yako hapo kazini akawa anakufanyia hivyo vibweka [emoji23]
 
Ahsante mkuu Kirumberumbe: kwa kulitambua hilo wachache sana... Wenye roho na moyo wa kutoa Shukran...NB;
Vyoo vya uswaz 65% ni vya shimo kwa hapa mjini... Vijijini 91% pia ni vya shimo kinachotakiwa umakini sana! Unaweza kwenda hata na tochi ukamulika kwenye shimo ukienda maliwatoni mkuu
emoji120.png
 
watu wengine hata kwenye vyoo vya namna hiyo wanapanda juu wanachuchumaa...so unamshtukia fasta tu huyo nyoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inatokea mbona. Nilishakuta nyoka bafuni kwenye sink la choo cha kukalia. Nikamuua, ikawa kila nikirudi usiku nasikia vitu vikikimbia darini. siku ya siku akatokea snake mkubwa..Nikatoka mbio. Nikaenda kupanga gesti...hata nguo niliwaagiza vijana wa ofisini wakanichukulie. sikutaka kupanga nyumba tena nyumba za kiswahili. Nilikaa gesti almost six months. project ilivyoisha...nikatimka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole mkuu
 
Back
Top Bottom