Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,143
Haya majoka yanatumbukizwaga... Mechanism ya hivyo vyoo ni nadra joka kubwa kama hilo kupenya
Haya majoka yanatumbukizwaga... Mechanism ya hivyo vyoo ni nadra joka kubwa kama hilo kupenya
Hata mimi mkuu. Tupo pamojaNyoka hawezi kunizuia kufanya mambo yangu.
uwiiii inatisha sana aisee. usiku kwenda toilet kwa mazoea bila kuwasha taa nimeacha kuanzia leo
Hapana. Choo cha kukaa mara nyingi huwekwa master bedroom na cha public kinakua cha kuchuchumaa.Kwani choo chenu cha public.
Hatari mkuu[emoji23]Nyoka hawezi kunizuia kufanya mambo yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu Sesten Zakazaka hatari hii kitu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wanagonga wenye chura tu hao.
Lakini vyote ni vyoo vya kuflash majiHapana. Choo cha kukaa mara nyingi huwekwa master bedroom na cha public kinakua cha kuchuchumaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kama unatumbo la kuharisha...utafurahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekaa unasikia nyoka kakugonga kwenye mpododo
Kama akikugonga mguuni unafunga kamba sumu isisambae..... Sasa akigonga tako unafunga wapiWanagonga wenye chura tu hao.
Hii itakuwa kwa wenzetu nchi za mbali ambao system yao ya maji taka inafika mbali. Kwa hapa kwetu ni ngumu maana chemba hazina bomba za kupeleka uchafu sehemu zingine. Ikijaa ni inaletwa gari ya kunyonya maji taka. Na chemba hizi ziko almost sealed kitu kuweza kuingia.Hawa ni nyoka wa kufugwa ambao wanafuata drainage system mpaka nyumba nyingine
Lakini kwetu sidhani kama kuna system hii ambapo atashindwa kukwama mahali kwa pipe zetu za size tofauti
Kwa kweli watu walivyowaoga wa chatu amfuge nyumbani ampe mbuzi kwa mwezi duu sidhani
Kwanini MKUU "Smart911