Tuwatoe out wake zetu hata mara moja kwa mwezi

Tuwatoe out wake zetu hata mara moja kwa mwezi

Nipo nyumbani nimeshajiaandaa na wife anamalizia kujiandaa si mnajua wanawake kitu cha lisaa atafanya masaa matatu.Nampeleka dinner Colloseum na yeye ajisikie yupo ulimwenguni.
Ushauri Wanaume wenzangu tuwe tunawatoa out wake zetu hata Mara moja kwa mwezi.Mbona kipindi cha ugf na ubf huwa tunaonyesha bidii sana.Tubadilike
sisi wengine huwa tunatoka na familia nzima...
 
Ndg.Ni Wazo Zuri Sana, Na Mimi Nikiwa Kama Mchungaji Naunga Mkono.

Lakini Wito Hapo, Ni Kuishi Maisha Ya Kimungu,maana Vingnevyo Mkeo Atashawishiwa Kwa Njia Iyoiyo Ya Mtoko, Tena Mahali Ambapo Wewe Hujawah Na Ujawaza Kumpeleka.

Kiukweli Pamja Na Kumtoa Mkeo Out, Ni Muhm Pia Kumpa Yesu Maisha Yenu, Ili Hofu Ya Mungu Ndio Itawale Katikati Yenu.

Asante ndugu mchungaji...
 
cute b jiandaeee bhasi tutokeeee....nakuja kukupitia
Kaboom wewe leo mtoko wapi!?na shemeji? Au mchepuko utahusika
ibra87 unatoka na yupi leo? .....

Bwana mdogo puppa unatokaga out?
atoto its weeknd punguza ubize..mwambie shem mtoke out japo mara moja kwa miaka kadhaa...
BADILI TABIA unatokaga kweli?
 
Last edited by a moderator:

Mtoko muhimu aisee..Ngoja nimapange shem wako
 
Last edited by a moderator:
Yeah! Inapendeza, mkimaliza mtokoo hamjazinguana hata pumbu mnapigana kisawa sawa km vile vile mmeopoana siku hiyo hiyo.
 
cute b jiandaeee bhasi tutokeeee....nakuja kukupitia
Kaboom wewe leo mtoko wapi!?na shemeji? Au mchepuko utahusika
ibra87 unatoka na yupi leo? .....

Bwana mdogo puppa unatokaga out?
atoto its weeknd punguza ubize..mwambie shem mtoke out japo mara moja kwa miaka kadhaa...
BADILI TABIA unatokaga kweli?

Love tatizo mimi nikitokaga out na wew wadada wanakushobokea hadi naoni wivuu
 
Last edited by a moderator:
cute b jiandaeee bhasi tutokeeee....nakuja kukupitia
Kaboom wewe leo mtoko wapi!?na shemeji? Au mchepuko utahusika
ibra87 unatoka na yupi leo? .....

Bwana mdogo puppa unatokaga out?
atoto its weeknd punguza ubize..mwambie shem mtoke out japo mara moja kwa miaka kadhaa...
BADILI TABIA unatokaga kweli?

yeah ndio mambo yangu hayo kama vipi nipitie pamoja na shem cute b
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom