Tuwatoe out wake zetu hata mara moja kwa mwezi

Tuwatoe out wake zetu hata mara moja kwa mwezi

Nipo nyumbani nimeshajiaandaa na wife anamalizia kujiandaa si mnajua wanawake kitu cha lisaa atafanya masaa matatu.Nampeleka dinner Colloseum na yeye ajisikie yupo ulimwenguni.

Ushauri wanaume wenzangu tuwe tunawatoa out wake zetu hata Mara moja kwa mwezi.Mbona kipindi cha ugf na ubf huwa tunaonyesha bidii sana.

Tubadilike

Mie mpaka Disco natimba nae, watoto siku hiyo mwenzao housegirl
 
Back
Top Bottom