Tuwatoe out wake zetu hata mara moja kwa mwezi

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Nipo nyumbani nimeshajiaandaa na wife anamalizia kujiandaa si mnajua wanawake kitu cha lisaa atafanya masaa matatu.Nampeleka dinner Colloseum na yeye ajisikie yupo ulimwenguni.

Ushauri wanaume wenzangu tuwe tunawatoa out wake zetu hata Mara moja kwa mwezi.Mbona kipindi cha ugf na ubf huwa tunaonyesha bidii sana.

Tubadilike
 
Jisemee mwenyewe huku sisi ni kama kawa leo mimi natoka naingia zangu gwasuma na mchumba.

swissme
 
Nipo nyumbani nimeshajiaandaa na wife anamalizia kujiandaa si mnajua wanawake kitu cha lisaa atafanya masaa matatu.Nampeleka dinner Colloseum na yeye ajisikie yupo ulimwenguni.
Ushauri Wanaume wenzangu tuwe tunawatoa out wake zetu hata Mara moja kwa mwezi.Mbona kipindi cha ugf na ubf huwa tunaonyesha bidii sana.Tubadilike

Ndg.Ni Wazo Zuri Sana, Na Mimi Nikiwa Kama Mchungaji Naunga Mkono.

Lakini Wito Hapo, Ni Kuishi Maisha Ya Kimungu,maana Vingnevyo Mkeo Atashawishiwa Kwa Njia Iyoiyo Ya Mtoko, Tena Mahali Ambapo Wewe Hujawah Na Ujawaza Kumpeleka.

Kiukweli Pamja Na Kumtoa Mkeo Out, Ni Muhm Pia Kumpa Yesu Maisha Yenu, Ili Hofu Ya Mungu Ndio Itawale Katikati Yenu.
 
Nipo nyumbani nimeshajiaandaa na wife anamalizia kujiandaa si mnajua wanawake kitu cha lisaa atafanya masaa matatu.Nampeleka dinner Colloseum na yeye ajisikie yupo ulimwenguni.
Ushauri Wanaume wenzangu tuwe tunawatoa out wake zetu hata Mara moja kwa mwezi.Mbona kipindi cha ugf na ubf huwa tunaonyesha bidii sana.Tubadilike

Mwezi uliopita ulimtoa out? Au unatukumbusha baada ya ww leo kufanya hivyo?
 
Wenzio tunawatoa wake zetu kila siku,wewe leo tu unaleta matangazo huku.
 
Hahaha. Kumbe una mke bro? Ndoa zimekuwa too mainstream sasa.

Anyway, Heaven Sent hebu jiandae tukakumbuke enzi zetu.
 
Last edited by a moderator:
hata wanawake na wanawatoa waume zao sasa kama wako anakungojea wewe tuu.. ujue hata mwanaume mwingine akimwita atakubali mpk mechi maana kazoea hizo ni huduma za wanaume. Chukuwa hatuaa
 
Ni vzur.Penzi lazima lipaliliwe liwe na afya.
 
Ila mkeo ana wakati mgumu sana endapo atajua id yako humu, threads zako humu tata sana.
 
Nipo nyumbani nimeshajiaandaa na wife anamalizia kujiandaa si mnajua wanawake kitu cha lisaa atafanya masaa matatu.Nampeleka dinner Colloseum na yeye ajisikie yupo ulimwenguni.
Ushauri Wanaume wenzangu tuwe tunawatoa out wake zetu hata Mara moja kwa mwezi.Mbona kipindi cha ugf na ubf huwa tunaonyesha bidii sana.Tubadilike

Hongera sana,umefanya vizuri mkuu,Mimi nisipomtoa mke wangu out nimtoe nani sasa jamani? Na tutaufanyia kazi ushauri wako.
 
Ndiyo mara yako ya kwanza nini, baada ya kushikwa shati na wife.
 
Back
Top Bottom