Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Mnataka kuwashtaki wawekezaji ndio jina jipya kwa sasa.bajeti yenyewe asilimia 60 mnategemea wao.misaada mnategemea wao harafu leo muwashtaki.wanaweza wakalipa na kuacha kuwapa misaada muone kama amjawa kama zimbabwe
 
Mleta uzi anataka kuwashtai waarabu hali ya juwa wazungu ndio waliozidi kuwatesa wazee wetu.
 
Mbona mna generalize wkt mtoa uzi yupo specific? Anataka kushtaki waarabu wa Oman kwa vile Tippu Tip(Hemed bin Mohamed al Murjeb) alishiriki kuwafanya watumwa nduguze.
Km nanyi waingereza waliwafanya watumwa, washtakini pia, hamjazuiwa!

sasa kama anataka kushitaki si aende mahakamani bana,jf sio mahakamani.
 
Mimi hilo la Utumwa wala siwalaumu kwani waliwapeleka ndugu zetu hasa wanyamwezi kutembea Ulaya.

Mimi nashauri tuwashitaki kwa ujinga walioacha nyuma baada ya wao kuondoka. Kwa kweli kila sehemu waliyokaa hawakujenga hata Zahanati wala Skuli, wao ni bao na kahawa tu.
 
sasa kama anataka kushitaki si aende mahakamani bana,jf sio mahakamani.

Kwani mambo yote yanayojadiliwa hapa huwa ndio mahali pake? Idiot!

Siku ile ulipokuwa unalalamika unataka mahakama ya kuvunja ndoa zenu za mafungu, kwani hapa ni Bungeni?
 
Reasons for the abolition of Slave Trade

l- The industrial development in Britain and Europe made the whites depend on machines much than human labour.

2- When America gained its independence from the British, it abolished slave trade. This reduced on the rate of people to be taken as slaves.

3- People became religious and saw slave trade as an immoral and inhuman business.
4- The French used slaves to work on their sugar plantations in West Indies. Their sugar was liked by many people in Europe. Sugar pro- duced by the British was not highly liked by people. On seeing so, the British abolished slave trade in order to affect the labour in the Frenh sugar plantations.


5- The whites decided to open up plantations in Tanganyika in order to use the cheap African labour than transporting the Africans to Europe and America as slaves.


6- The European nations wanted the Africans to produce raw materials within their own areas and buy manufactured goods from Europe.
ukiangalia sababu za kukomesha utumwa, ziko centred ulaya. kama kuna sababu inayohusu Oman na waarabu zinaweza kuongezwa kwenye hizi 6 nilizo zinukuu katika kitabu mashuhuri cha historia. TUACHE USHABIKI WA KIDINI. WAARABU NA WAZUNGU WOTE WALIFANYA BIASHARA YA UTUMWA. WAZUNGU WALITUMIA MBINU YA KUWAOMBA WASWAHILI NA WAARABU WANUNUE AU KUTEKA WATUMWA KWA NIABA YAO. VILEVILE WARENO WALISHIRIKI MOJA KWA MOJA. NOTE: IKUMBUKWE KUWA MACHIFU NAO WALIRIDHIA KUWAUZA WATANGANYIKA KAMA WATUMWA. TAMAA ZA MACHIFU NAZO ZILICHANGIA. HAYA TUNAYO YAONA LEO YA MIKATABA MIBOVU NA KUUZWA KWA RASILIMALI ZA TAIFA KIHOLELA, HAYANA TOFAUTI NA KOSA LA MACHIFU KUUZA WATU UTUMWANI. USHAHIDI MWENGINE NI KWAMBA BARA ARABU KUNA WEUSI WACHACHE SANA. KAMA WAARABU WALINUNUA WATUMWA KWA WINGI, IWEJE HAWAONEKANI UARABUNI LKN WAMERUNDIKANA ULAYA NA BARA AMERIKA!? BRAZIL, MAREKANI, CUBA, HAITI.........
 
Miaka 1700 nyuma kulikuwa Hakuna nchi inayoitwa Tanzania wacha ujinga ukawa Kama Mh. Mapuri aka andika utumbo wa historia
 
Mbona umetaja Oman tu kwani hakuna waingereza wajerumani na wareno waliofanya biashara hiyo,au.unachuki tu kwa nchi hiyo?

Huyu katoa ya kwake na wewe toa wa kwako na jinsi gani hao wamekuathiri, sio kwasababu unamfikiria wewe hajatajwa basi eti waachwe tu hivi hvi.
 
]

mkuu sijatetea waarabu bali nimejaribu kumuonyesha mleta uzi anaepaswa Kuanza kushtakiwa.

Mkuu tatizo mawazo yako unadhan kuwa Uarabu ni uislamu na wengine wandhani kuwa Uzungu ni ukristo.

Karl Max aliwahi kusema kuwa "Dini ni bangi ya watu" lakin wengi walimpinga , Leo hii ukweli umereveal wenyewe watu badala ya kugusa hoja mmeingiza dini zenu.
 
Hawa wazungu ndio wanaoichafuwa dunia kwa kila mambo mapovu,halafu huandika historia ya uongo,kama mataifa mengine ndio wachafuzi.Mambo yote ya ovyo yanaanzia kwao,wao wanaoana wanaume kwa wanaume,wao mwanamke mmoja aweza kufanya ngono na wanaume watatu kwa wakati mmoja,mdpomoni,nyuma,mbele nk.Mwanamke aweza kufanya ngono na wanyama,ulevi wa kutisha uko kwao,ubaguzi wa rangi,makabila,dini nk.
 
Lakini mbona wazungu wamejenga reli,shule,barabara,hospitali,vyuo vikuu nk,wakati wao waarabu wameishia kutuachia mashombeshombe kibao!!!!!
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.
Mkuu hujambo vipi akili zako ni timamu? au tukufikishe mirembe-Dodoma ?
Hadithi hizi zimeshapitwa na wakati...Lakini kama kudai basi kadai kwa wa janja yaani wafanya biashara za kuuza na kununua ambao ni Wanyamwezi ndo walikuya kuwafuata kwenu huko ujiji!! Walonunua walikiwa bandarini BagaMoyo tu
wakichapa kazi za uvuvi. Tafadhali ongea na Salesmen Wazaramo. Acha kupayuka bila kujua kitu japo huo ulikuwa uzushi tu. Hivyo nawewe ulisoma vitabu na hadithi ya kukuaminisha kuwa Babu alikuwa mtumwa? afu, umeshapikwa naumesha ogeshwa ubongo ulivyokuwa katika shule za wanafiki. Kuwa macho funguka usijidhalilishe na kujiita wewe ni mjukuu wa mtumwa. kataa kabisa wewe na mababuzetu wote ni huru toka enzi hizo.... ila kama una dai hewa basi funga safari uende uarabuni wanawasubiri tena wanamahela hao!!
 
Jamani Someni historia vizuri. Waafrika wenyewe walijihusisha na biashara ya utumwa kwa kuwakamata wenzao na kuwauza. Wakina Mirambo na wengineo ndio walikua wahusika wakuu kuliko waarabu.
Hakuna ushahidi unaoonesha kuwa waarabu walivamia vijiji na kuwakamata watu kwa nguvu. Ni waafrika wenyewe ndio walifanya kazi hiyo. Kwa hiyo madai yaanze kwa waafrika wenyewe.

Waarabu walifika Tanzania au Afrika mashariki kabla ya wabantu na walileta maendeleo ya kwanza hapa , watu kutumia kalamu na karatasi na watu kujifundisha kuandika na kusoma kwa maandishi ya kiarabu , biashara baina ya makabila , Kufungua biashara na nchi mbali mbali , Kuifungua Afrika kwa walimwengu wa magharibi, Umeme ,Tram ( treni ndogo ya mjini ), maji ya mifereji, posta, telegraph - zanzibar chini ya waarabu ilikua ni katika nchi za kwanza za Afrika kufanya hivi vitu - hayo ni maendeleo.

Waarabu walishikiana na waafrika kupambana na ukoloni katili wa kijerumani na katika vita ya majimaji. Baadhi ya waarabu wanatambulika kuwa ni mashujaa wa taifa - kama Bushiri.

Yaliopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo
 
Kamwe hutapata picha ya kupigwa kwa kamera ya muarabu akimtesa mtumwa wa africa labda picha ya kuchora lkn picha za kupigwa kwa kamera za wazungu wakiwatesa waafrika zipo nyingi tu.

thats very weak argument. kama hawakuwa na technology ya kupiga picha je? so wewe unaaamini waarabu hawakufanya biashara ya utumwa? seriously?
 
mkuu uarabuni wangepelekwa kufanya nini?kule ni jangwa,hakuna mashamba,watumwa walipelekwa marekani ya kusini,america na ulaya kwenda kulima.
Mkuu Nakubaliana nawe 100% hawa jamaa sijui akili zao ziko wapi? Hawatumii akili walivyo danganywa wakaAmini ndo maana wapo wapo tu. Tulisha fungaga topic na maudhui huu na wengi walielewa ukweli lakini bado wana ngangana. mmmh hopeless .
 
tatizo la sisi Waafrika kwa kuwa mtu ni Muislamu basi anafikiri kwamba Mwarabu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea na upande mwingine kwa kuwa Mtu ni mkristo basi anafikiri Mzungu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea, kumbe tusichokijua maskini ya Mungu sisi Waafrika kwa macho ya Mwarabu na Mwarabu ni Nyani tu!


kwa Mzungu kama ataambiwa achague kati ya Mwarabu Muislamu na Mwafrika mkristu atachagua Mwarabu Muislamu mara 100 kutuacha Waafrika wakristo, Mwarabu hivyo hivyo ukimwambia achague Mzungu Makristo na Mwafrika muislamu atachagua Mzungu Mkristo!
Mkuu Kijakazi hii mimi ndiyo naiita UTUMWA WA KUDUMU mpaka tukijitambua wote na tukaachana na UJINGA WA KUTHAMINI MILA na DESTURI za Wengine kisa IMANI!.

UPUZI MTUPU
 
Last edited by a moderator:
Unatoa msamaha halafu unajirudisha tena kitanzini. Hata shetani atakushangaa. Ona hii
Uongo "uzushi mtupu" hao waarabu weusi walikuwa katika mashindano ya kuogelea baada ya ushindi wakapiga picha na wafadhili wao.
Picha za wakoloni kuwa ongopea.!!
 
tatizo la sisi Waafrika kwa kuwa mtu ni Muislamu basi anafikiri kwamba Mwarabu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea na upande mwingine kwa kuwa Mtu ni mkristo basi anafikiri Mzungu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea, kumbe tusichokijua maskini ya Mungu sisi Waafrika kwa macho ya Mwarabu na Mwarabu ni Nyani tu!

kwa Mzungu kama ataambiwa achague kati ya Mwarabu Muislamu na Mwafrika mkristu atachagua Mwarabu Muislamu mara 100 kutuacha Waafrika wakristo, Mwarabu hivyo hivyo ukimwambia achague Mzungu Makristo na Mwafrika muislamu atachagua Mzungu Mkristo!

Unakosea.. hebu pita moshi na arusha kwenye club wanazopenda kuhang wazungu utagundua wadada wakizungu wanawazimikia sanaaa weusi kuliko hata wazungu wenzao.. that is simple observation. HATA MAREKANI IS THE SAME. Wanawake wa kizungu wanapenda wanaume weusi kuliko wazungu wenzao sembuse waarabu.
Wayahudi wengi ni wazungu na ndio adui namba moja wa mwarabu..
 
I hate Arabs! They treated our grandfathers like animals.. F•ck demmmm
hii Mafinyofinyo uko mzima wa afya au bado unatumia zile dawa za kukulaza ungali umesima? Tafadhali endelea kujitibu!!
Who treated your g/father like animals?!! I think you need to be treat first, either I take you to mental hospital or take you bback to school? kwanza nakuomba urudi nyumbani ukamuulize babu kama unaye akuambie alisikia au alishuhudia jambo lolote kuhusiana na hayo uloandika hapo juu!! Halafu tulete utumbo wako humu jf, tunataka ukweli na shuhuda. Kama utaleta uzushi basi utalala nao wewe na chuki zako. Na walokufundisha wao hawapo sasa washakupandikizia kasumba na maradhi moyoni mwako. "Death with your hatred" jifunze kutumia akili ulopewa kuliko maneno ya kuambiwa. Usikurupuke kutukana au kutoa matusi hayo yanaonyesha asili yako na masomo ulofundishwa na walimu wako kuwa ni duni kabisa. badilli tabia uwe unaheshimika.
 
Back
Top Bottom