Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Kwa nini walikubali kuuzwa wakiwa nchini kwao? wa Tanzania wenyewe hatuoni wafanyakazi wa majumbani wanavyo nyanyaswa na wa Tanzania wenzao humu humu nchini? hatua gani zinachukuliwa? Acheni umbea nyinyi!!
 
Mkuu ukifuatilia "anthropology" bila kuweka Siasa na nationalism mbele. Nadhani sisi Africa ndio wa kulaumiwa, kwa hatma yetu wenyewe. Mpaka watu weupe wanakuja kwetu kututawala, ina maana walikuwa wamesha-progress. Utumwa nauchukulia kama janga la asili tu. Lakini naunga mkono tulipwe fidia.

Pay the blood you spilled in revenge in 1964
 
tunataka na kichwa cha ndugu yetu CHIFU SONGEA KIPO UJERUMANI ukiaanza na hili nitakupa sapoti
 
kama wajerumani waliliwalipa wayahudi basi na wa OMANI nao wanastahili watulipe kwa udhalimu wao waliotufanyia
 
mimi nna swali moja, watumwa wa kiafrika walioenda nchi za kiarabu waliishia wapi baada ya biashara ya utumwa kuisha, tunaona ma african americans bado wanaendelea kuexist hadi leo, je waarabu waliwaua babu zetu ili wasichanganye damu
 
Yeah,swali mzuri sana. Nasubiri povu
Cc kahtaan FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
mimi nna swali moja, watumwa wa kiafrika walioenda nchi za kiarabu waliishia wapi baada ya biashara ya utumwa kuisha, tunaona ma african americans bado wanaendelea kuexist hadi leo, je waarabu waliwaua babu zetu ili wasichanganye damu

Nenda katembee Arabu utapata jibu.
Umekaa mabonde kuinama toka kuzaliwa Hilo jibu utapata wapi?
Je una habari Crown Prince wa Kuwait ni Mtu mweuzi km wewe na mimi?
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.

OCT 19, 2014 Update:
we mpuuzi anza kwanza kupinga wagalatia kupewa shule wanazodai kuwa walizijenga wao kipindi cha ukoloni wakati inajulikana wazi kila sehemu walipojenga walikuwa wanachukua mali zetu, kama wanataka majengo yao basi hao wamisionari warudishe mali zote walizochukua
 
waarabh makatili sana.

Kila kabila lina watu makatili hata hapa kwetu wapo watu makatili.
Unawzaje kumkata mtu kiungo akiwa hai kama ww sio katili?
Polisi u.s.a wanauwa watu weusi kila siku kama sio ukatili nini?
Jifunze kuondoa chuki zako kwa watu wasio kusaida lolote lile ishi kwa upendo ujiandalie mazingira mema hapa duniani na kesho mbinguni kama munavyo amini.
 
mimi nna swali moja, watumwa wa kiafrika walioenda nchi za kiarabu waliishia wapi baada ya biashara ya utumwa kuisha, tunaona ma african americans bado wanaendelea kuexist hadi leo, je waarabu waliwaua babu zetu ili wasichanganye damu

Yeah,swali mzuri sana. Nasubiri povu
Cc kahtaan FaizaFoxy
huko mnakodai mnawaona watu weusi hadi leo si ndio huko polisi weupe wanalalamikiwa? jiulize polisi weupe wanalalamikiwa kwa kadhia ipi,
 
huko mnakodai mnawaona watu weusi hadi leo si ndio huko polisi weupe wanalalamikiwa? jiulize polisi weupe wanalalamikiwa kwa kadhia ipi,

Media pia ni za haohao weupe zinazokuhabarisha. Heri wao angalau wanatujuza kinachojiri kuliko wanao silence the truth kwa siri.
 
mimi nna swali moja, watumwa wa kiafrika walioenda nchi za kiarabu waliishia wapi baada ya biashara ya utumwa kuisha, tunaona ma african americans bado wanaendelea kuexist hadi leo, je waarabu waliwaua babu zetu ili wasichanganye damu

Kwanza hiyo biashara ya kuuza na kinunua watu waarabu hawakuifanya.
Hakuna picha wala video zinazo onekana mtumwa muafrica akiwa chini ya mwarabu zaidi tunaona michoro tu inayoonyesa mwarabu akimswaga mtumwa.
Nakama uwopo wa watu weusi ktk ardhi za kiarabu ndio furaha yako basi nenda salala oman utawaona waarabu wadhofar weusi wengi tu malaki ya watu na wanaishi kwa heshima zote za kioman.
 
Back
Top Bottom