hivi hujui Kiswahili? Naona Kiingereza unakiandika anticlockwise kama kiarabu vile
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.
Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.
OCT 19, 2014 Update:
Teh teh teh!
Nyie walevi wa pombe za kienyeji huwa mnaota ndoto za ajabu sana.
We ule mtaji uliopewa na shemeji yako Umeumalizia Kwenye Vilabu vya Gongo halafu jamaa kaamua Kukutimua Kwake.
Sasa unaishi kwa Rafiki Umekula Ganja Zako za Kugongea Unafikiria Kupata Utajiri wa gafla kwa Kuanzisha Kesi Pumba!
We unafahamu hata Kesi Ni kitu gani!?
Au unadhani ni km zile kesi zenu za Kuchungulia dada zenu wakiwa wanaoga huko uswahilini!?
Kudadadeki!
Mkuu hapo umechemka! Hela Za Kiulani siku hizi hakuna! Yaani labda Upate Buzi tu! Otherwise Hakuna Utakacho ambulia.
Halafu una habari TIP TIP Alikuwa MWAFRIKA km wewe na mimi?
Bila Waarabu Wewe na Mimi mpaka leo tusingejua Wali ni kitu gani!
Tusingejua Manukato Ni Kitu gani.
Wala mavazi ya Kiungwana Tusingeyajua ni nini!
Wajerumani na Waingereza walimvika Kaptura Nyerere mpaka Wazee wetu walioishi na waarabu wakamnunulia Suruali ya kwanza kabisa.
Sisi waafrika shukrani zetu always ni mateke tu.
Tumeshaanza kuonja Raha sasa matakko yanalia "mbwata!.
Mi nakushauri mtafute Matola Mkaungane nae ktk hii kesi huenda Mkashinda!
Manake wote nyie akili moja!
Kkkkkkkkkkkkk!
Acha upuuzi, unajipendekeza kwa black.
mwarabu wewe wa oman, umekaa ngorongoro unasafirisha twiga na ivory kimagendo. Ni aibu kumwona nabtal kama wewe umeshikwa na Stockholm syndrome.
Watu wanataka fidia, unajaza uchafu kudhohofosha harakati za MTU mweusi huku Ukijinadi ni black. Ki baraka we...
Unataka utumwa urudi, ili uendelee kuwa nyapara wa waarabu .
Nyinyi ni kansa ya dunia. Hasa nyinyi wakina nabtalSi afadhali ya mimi Ninaejipendekeza kwa mtu anaeniita BROTHER! Kuliko wewe unaeitwa "NIGGA" na Boss wako?
Wd hujajiuliza ni kwanini mpaka leo umewekewa picha ya Mzungu uipigie goti?
Ukila pia unakula kwa kutumia vyuma ka bwanako.
Na mpaka ukienda chooni Unachambia makaratasi ka Bwanako.
Mimi sina picha ya mwarabu Wala Siabudu mwarabu.
Na tukiingia sehemu ya Ibada mimi na hao waarabu Tunakaa chini na wote tunakuwa Kitu kimoja. Sio we mnywa kinyesi!
Thubbutu ukae karibu na mzungu kanisani! Wazungu leo hii wana imani mtu ka wewe na hayo meno yako meusi ni Ebola tupu!
Ndio maana kwenye Airports zao Watu wenye Ngozi ka yako Lzm wapitishwe kwenye machine ya kucheki mabaki ya vinyesi mwilini mwako lkn mzungu au mtu mweupe yyt akipita hata kumuuliza hawamuulizi.
Unajifanya kuvaa suti jua liko 38°c unanuka kikwapa ka Chemicals!
Tazama mlivyo wakuda, eti tumshtaki mwarabu, nyie maskini kwa kutamani pesa za bure ndio maana Mnapakuliwa ovyo msosi wa nguvu!
Hebu mcheki kakako hapa! Yaani hata aibu haoni tena!
Kakamatwa kiuno na basha wake anasubiri kuokota Shs shs zilizoko sakafuni tu.View attachment 207916
utumwa ni mafundisho ya uislam na mwamedi wao
nyie wacheni chuki binafsi dhidi ya waislam.
Waendeshaji biashara ya utumwa walikua waingereza na wajerumani na wala si warabu. Hakuna muomani alietawala tanzania hata mmoja. Kama ni sultan barghash yule hakua muomani bali alikua mzanzibari.
you seem you are the other one who finished halmashauri school, come to gerezani sikh temple we will teach you english the language of your bwanas.
You treasure everything given by muzungu, even at the expenses of your humanity they have clipped your dirty corrupt hands (escrow and more to come) bcz they want you all to be gays. I am sure if the aid was given by cameron with the conditions of being married to a white men same sex you will happily walk in reverse mode towards them. Teh teh teh.
Ungejibu hoja,sio kutukana.huna maana wewe kiingereza chenyewe hujuwi ongea kiarabu kum.... Wewe!!
huna maana wewe kiingereza chenyewe hujuwi ongea kiarabu kum.... Wewe!!
Ungejibu hoja,sio kutukana.
Akili huna
Ngoja nikuambie kitu mkuu kuhusiana na hili la utumwa,ni hivi hakuna utumwa mbaya kuliko wote kama utumwa wa akili, na wakati hawa jamaa walipokuwa wakija kukamata watumwa huku Afrika sambamba na hilo dini ilikuwa inatumika pia,sasa basi kwa kuwa mtu mweusi ni kiumbe ambacho kipo kipo tu mpaka leo usishangae kutokea watu kama hao wakitetea waarabu kwa unyama wao walioufanya eti tu kwa sababu ni waislamu na waliwaletea dini,inasikitisha sana na inaumiza kuwa na mijitu ya hovyo namna hii mpaka leo kwa sababu hakuna asiye jua kuwa waarabu walichukua waafrika na kuwapeleka kwao kama watumwa,kama ambavyo wazungu walivyokuwa wakiwachukua watu weusi kama watumwa,na kwa upande wa wazungu wamekuwa wakilalamikiwa miaka yote kwa udhalimu,utesaji na deaths kwa watu weusi watumwa na sijawahi ona wakitetewa eti kwa sababu ni wakristo au walileta dini Afrika?kwa sababu hauwezi ukawa na akili timamu kisha ukasema ni uongo kuwa wazungu hawakuchukua watumwa Afrika?inabidi uwe mpumbavu mpaka leo kama huyo jamaa anayesema waarabu wanaonewa kisa ni waislamu.hizi dini zinatufanya tuwe wavivu wa kufikiri,yan kwa sababu ya kutetea uislamu unataka kubadili ukweli!
Hapo wote wanamakosa na si kusema ni wazungu tu.
Ngoja nikuambie kitu mkuu kuhusiana na hili la utumwa,ni hivi hakuna utumwa mbaya kuliko wote kama utumwa wa akili, na wakati hawa jamaa walipokuwa wakija kukamata watumwa huku Afrika sambamba na hilo dini ilikuwa inatumika pia,sasa basi kwa kuwa mtu mweusi ni kiumbe ambacho kipo kipo tu mpaka leo usishangae kutokea watu kama hao wakitetea waarabu kwa unyama wao walioufanya eti tu kwa sababu ni waislamu na waliwaletea dini,inasikitisha sana na inaumiza kuwa na mijitu ya hovyo namna hii mpaka leo kwa sababu hakuna asiye jua kuwa waarabu walichukua waafrika na kuwapeleka kwao kama watumwa,kama ambavyo wazungu walivyokuwa wakiwachukua watu weusi kama watumwa,na kwa upande wa wazungu wamekuwa wakilalamikiwa miaka yote kwa udhalimu,utesaji na deaths kwa watu weusi watumwa na sijawahi ona wakitetewa eti kwa sababu ni wakristo au walileta dini Afrika?kwa sababu hauwezi ukawa na akili timamu kisha ukasema ni uongo kuwa wazungu hawakuchukua watumwa Afrika?inabidi uwe mpumbavu mpaka leo kama huyo jamaa anayesema waarabu wanaonewa kisa ni waislamu.
Well said mkuu, ngoja wakina nabtali waje hapa kumwaga tindikali Na mabomu.
Lakini ukweli ushawaambia.
Kweli kabisaHapo hamna kesi mkuu, waoman watakuona kama kichaa,wengi walio oman asili yao africa,weusi utasema tairi ya gari,sasa umfate mtu kama huyo umwambie tulipe kwa mlio wafanyia babu zetu kweli atakuelewa?
Mh!Kimsingi tunahitaji fidia kubwa sana. Sijui wanasheria wetu wanawaza nini. Ilibidi hata kituo cha haki za binadamu kiwafungulie madai wote waliofanya biashara ya utumwa. Hata wakoloni Nao washitakiwe.