FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Hata hivyo nashukuru Leo hii tuna kina Muhammad Ali. Martin Luther Jr.,Malxom small, Maywether, tupac, Jayz, Serena Williams, Beyonce, Wanatutangaza watu weusi duniani nasi tunaheshimika. WaZUngu ndio walipiga ban utumwa, kwakua YESU hapendi uonevu.
Kule arabuni hata maendeleo hakuna coz walikua wanawabaka, kuwalawiti wakina nabtali na kuwaua.
Huyo mnajuwa kuandika jina lake?
Makubwa!