Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Nini chanzo cha ma black kujikuta america,haiti,jamaica?nani aliwapeleka huko wa africa wenzetu nae tumfungulie mashtaka
wewe uliteswa na mwarabu na sio mzungu. Mzungu aliwaliz a sana west Africa, Congo na msumbiji. wewe mkomalie mwarabu wa Oman tuu.
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.

OCT 19, 2014 Update:

Mkuu tuwashtaki na wayahudi kwa kutuulia nanii yule mjamaa pale msalabani
 
Hujawahi msikia sultan seyyid ama Sultan baraghash wewe?.
kule Zanzibar serikali iliingiaje madarakani?

Meli ya Kubeba watumwa ya Kwanza Ilikuwa inaitwa "JESUS"

Na nyie wagalatia mtaendelea kuwaabudu wazungu mpaka kufa.
Wametesa babu zetu na siku ya kuondoka wakawaachia wagalatia picha ya mmoja wao ambayo mnaiabudu mpaka leo.

1433700187716.jpg

☝☝Meli ya Yesu ya kwanza kubeba watumwa .
 
View attachment 258271

☝☝Meli ya Yesu ya kwanza kubeba watumwa .

Meli ikiitwa yesu ndo manake nini? Unaabudu meli wewe? Nilitegemea ungeniambua kuwa YESU alibeba watumwa kama Muhammad alivyokua na akina nabtali. Ha ha ha . raja kweli.
 
Waliokuletea Wewe mchaga huo Ukristo ndio waliokuja na hio Meli Iitwayo JESUS kubeba babu zako.
 
in short,ni ngumu kudai fidia because people or to be precisely black africans have been indoctrinated and brainwashed into loving their slave masters hence they have no unit, no culture and no spirituality....
 
Waliokuletea Wewe mchaga huo Ukristo ndio waliokuja na hio Meli Iitwayo JESUS kubeba babu zako.

Hata hivyo nashukuru Leo hii tuna kina Muhammad Ali. Martin Luther Jr.,Malxom small, Maywether, tupac, Jayz, Serena Williams, Beyonce, Wanatutangaza watu weusi duniani nasi tunaheshimika. WaZUngu ndio walipiga ban utumwa, kwakua YESU hapendi uonevu.

Kule arabuni hata maendeleo hakuna coz walikua wanawabaka, kuwalawiti wakina nabtali na kuwaua.
 
Nani anakuheshimu we mnywa uharo wa mbuzi?
Teh teh teh teh.

Hebu njoo nilipo mimi uone km ngozi isio nyeupe inathaminiwa na hawa Wazungu.
Unaishi milimani ukisoma magazeti ya mipasho huna lolote ulijualo.

Kwanza vimburu wenye meno meusi huku lzm muwekwe Quarantine wakuchunguze km hayo meno yako yanaweza kusambaza virusi.

Ati Tupac! Teh teh teh.
Tupac amefanya kipi kitakachokupa sifa wewe mchaga wa kishumundu sifa ya kuthaminiwa?

Hivi huo uharo wa mbuzi mnaokunywa huwa mnatia na Gongo sio?
 
Tupac, Sean Combs wamefanya mziki wa hip hop kupendwa duniani kote na kujenga heshima kw blacks, hadi kule arabuni na Irani kwenye ma-hardliners kuliko wewe hiphop imesha sumbua . Kule Iran hadi mademu wa kimanga wanadata wakiwasikia wakina lil Wayne. Wanatamani waolewe nao. Ambapo hapo zamani haikua hivyo waliwageuza watu weusi, shamba boi, pingu mikononi. Na kuwalimisha zao la tende. Na pembe za ndovu walizokua wakituibia huku kwetu afrika. Waarabu walijisahau hadi hawakuwaza kujenga viwanda. Waliamini viwanda vyao ni sisi waafrika walitufuga kama mifugo kama wasukuma tunavyofuga ng'ombe kwa akili ya maziwa. Ngembe snsawo. Hadi wanatuonea wivu.

Hadi wazungu wakawapita waarabu kimaendeleo. Watumwa kwa mwarabu ilikua kama ngoma kwa mswahili.
 
Hata nchi nyingi za Ulaya na America zilikuwa makoloni vilevile
 
Nani anakuheshimu we mnywa uharo wa mbuzi?
Teh teh teh teh.

Hebu njoo nilipo mimi uone km ngozi isio nyeupe inathaminiwa na hawa Wazungu.
Unaishi milimani ukisoma magazeti ya mipasho huna lolote ulijualo.

Kwanza vimburu wenye meno meusi huku lzm muwekwe Quarantine wakuchunguze km hayo meno yako yanaweza kusambaza virusi.

Ati Tupac! Teh teh teh.
Tupac amefanya kipi kitakachokupa sifa wewe mchaga wa kishumundu sifa ya kuthaminiwa?

Hivi huo uharo wa mbuzi mnaokunywa huwa mnatia na Gongo sio?

Sijui utakua lini!?
 
Sijui utakua lini!?

We unahangaika kumjibu huyu aliyejaza maruhani kichwani? Ni bora ujibizane na FaizaFoxy angalau elim dunia imempa ka ustaarabu na dini yake imempa ka-uungwana japo si sana kuliko huyu makamasi?
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haaaaaa nimekusoma
 
Last edited by a moderator:
Hao unaowaita oman waliingiza dini ya kiislam pwani ya afrika ya mashariki katika miaka ya 1200 huku wakiendelea na biashara zao za kubadilishana vitu bila ya kufanya biashara ya utumwa. Wazungu walieneza dini ya ukristu pwani ya afrika mashariki miaka ya 1800 huku wakifanya biashara. Biashara ya utumwa ilianza miaka ya 1800 jiulize mwenyewe chanzo cha biashara ya utumwa.
 
Back
Top Bottom