Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Ngoja kwanza nimsikize January makamba. Nampenda sana huyu mwanasiasa. Ni my number one. Nchi nzima... Huyu jamaa akichukua nchi. Itanyooka hana uswahili kabisa.
He's the best ever. Jamaa apewe nafasi.
 
Media pia ni za haohao weupe zinazokuhabarisha. Heri wao angalau wanatujuza kinachojiri kuliko wanao silence the truth kwa siri.
pumbavu wewe yaani mtu anakuua na mwengine anatangaza wewe unaona ni bora? hivi unajua blacks wameanza kuuawa lini huko kwa mabwana zako? na media zimeanza kutangazalini? mbona nafuu hakuna?
 
Mkuu sijaseto vizuri nitafakari madai yako.ngoja kwanza nimsikilize mheshimiwa January makamba. Then niyakuja kufafanua.. Huyu jamaa namkubali sana. Huyu ndiye nabii. Nitarudi
 
poa endelea kumsikiliza
 
Kwani waafrica walopelekwa uarabuni mbona hawapo tena.Au kuna black arabs?wanahistoria tafadhal nijuzen
 
pumbavu wewe yaani mtu anakuua na mwengine anatangaza wewe unaona ni bora? hivi unajua blacks wameanza kuuawa lini huko kwa mabwana zako? na media zimeanza kutangazalini? mbona nafuu hakuna?

Mkuu polisi weupe kumuua mweusi sio tatizo la kimfumo. Ni tatizo la uhalifu kama uhalifu mwingine wa individuals. Na ndio.maana media za watu weupe zina ripoti kwa kulaani sio kwa kusifu. Kwani ile sio itikadi yao. Wako politicians wanatumia hii kama sehemu ya kupiga siasa.hii ni tofauti na itikadi ya kiimani iliyojengeka kule arabuni kuwa utumwa ni tendo takatifu dhidi ya MTU mweusi. Utakuta hakuna hata Sheria ya kukataza utumwa. Na ndio maana arabuni watu wake wanaongozA kwa kuwa wasio na furaha. Dalili unaziona pale wanapotamani kujilipua kama suluhisho la kutetea kile wanaaminim na hii ni dalili tosha kuwa sheria na mifumo ya kuwatetea haipo.
Angalau tuna Obama kama hatumwamini basi tuna Michelle Obama first lady mweusi, hii pekee inatosha kuamini kuwa mifumo ya kule haimbagui MTU kiitikadi, wala race.
Mifumo ya kule Ina Sifa ya kuwa transparency.
 
Nilikuwa siamini kwamba watu hadi leo wanaamini historia ya shule ya msingi kwamba biashara ya watumwa iliendeshwa na waarabu kumbe hadi humu wapo! Kweli wajinga hawaishi
 
hivi prince wa oman ni mweupe?
 
Nilikuwa siamini kwamba watu hadi leo wanaamini historia ya shule ya msingi kwamba biashara ya watumwa iliendeshwa na waarabu kumbe hadi humu wapo! Kweli wajinga hawaishi

Hujawahi msikia sultan seyyid ama Sultan baraghash wewe?.
kule Zanzibar serikali iliingiaje madarakani?
 
Ila sio case maana hiyo ndio power of propaganda inayosemwa.mtu kakaa kashiba ndizi akachora tu picha ya binaadamu anayeitwa mtumwa chini ya uongozi wa mtu mwenye kilemba akimaanisha mwarabu na mtu anakuja na hoja waomani walipe vp sasa kuhusu wareno na wazungu wengine?
 
Mkuu polisi weupe kumuua mweusi sio tatizo la kimfumo. Ni tatizo la uhalifu kama uhalifu mwingine wa individuals. Na ndio.maana media za watu weupe zina ripoti kwa kulaani sio kwa kusifu. Kwani ile sio itikadi yao. Wako politicians wanatumia hii kama sehemu ya kupiga siasa.hii ni tofauti na itikadi ya kiimani iliyojengeka kule arabuni kuwa utumwa ni tendo takatifu dhidi ya MTU mweusi. Utakuta hakuna hata Sheria ya kukataza utumwa. Na ndio maana arabuni watu wake wanaongozA kwa kuwa wasio na furaha. Dalili unaziona pale wanapotamani kujilipua kama suluhisho la kutetea kile wanaaminim na hii ni dalili tosha kuwa sheria na mifumo ya kuwatetea haipo.
Angalau tuna Obama kama hatumwamini basi tuna Michelle Obama first lady mweusi, hii pekee inatosha kuamini kuwa mifumo ya kule haimbagui MTU kiitikadi, wala race.
Mifumo ya kule Ina Sifa ya kuwa transparency.
hayo mahistoria mengine ni uongo na kuchafuana, hivi wewe unaamini binaadam tulitokana na nyani?
 
Tukimaliza kuwashtaki kupata fidia then znz wawashtaki watanganyika wote walioshiriki mavamizi na mauaji ys 1964. Ambapo zaid ya waislam 20000 waliuliwa bila sababu na askari wa kukodi kutoka Tanganyika.
Na haya yalikua mauaji ya halaiki wote wanastahiki kupelekwa the Hague.
 
Hujawahi msikia sultan seyyid ama Sultan baraghash wewe?.
kule Zanzibar serikali iliingiaje madarakani?

Serikali iliingia kwa kuvamia km waamiaji wengine kwani kuna mahusiano makongwe kati ya jamii za asia hasa waarabuna watu wa afrika mashariki
 
Kwa kifupi propaganda hizi kwa sasa hazina nafasi koz watu wameanza kujua ukweli na mwafalsafa mmoja anvyosema kwamba "ukweli mpya wa kisayansi,hauwalazimishi wapinzani kuamini ukweli huo bali kizazi kipya ndio hukua na ukweli huo"
 
unaamin binaadam wa kale walikuwa sokwe?

Natambua ukweli kuwa kuna Wahindi weusi. Wapakistani weusi, Na hii haimaanishi ni halfcast. Ama negro.
Literrally Binadamu hakuwahi kuwa sokwe. Ila kisayansi binadamu anatokea famila ya sokwe. I mean primates.
Haya ni mambo ya klassifikesheni za kingidomu fom tuu.
Sokwe ni sokwe tena binadamu ni binadamu. Kwa binadamu Kutembea kwa four limbs hazimfanyi mwanadamu kuwa sokwe.
Ila katika most extreme situation, binadamu anaweza akaonekana kama kamnyama fulani hivi
 
Muhammad at 60 Takes 17-Year-Old Safiyah as Sex-slave

After securing beautiful Safiyaah daughter of Huyayy for himself, Prophet Muhammad bedded her in his tent on the same night. Here is the story: Merciful Prophet asked Bilal, the Negro crier of prayer to fetch Safiyyah to his (Muhammad's) camp. Bilal brought Safiyyah and her cousin straight across the battlefield strewn with dead-bodies, passing by the corpses of Kinana and his cousin. The two cousins of Safiyyah shrieked in horror when they witnessed the gruesome scene of the dead-bodies of their dear and near relatives. When brought to his presence, Muhammad cast his mantle around Safiyyah indicating that she was to be his own. Muhammad consoled a frustrated Dhiya by giving him Safiyyah's cousin sisters. According to Ibn Sa'd Prophet Muhammad purchased Safiyyah from Dhiyah for seven camels. On the same night, Muhammad took Safiyyah to bed. This was, of course, an exemplary character of the holy Prophet of Islam!

Here is what Ibn Sa'd writes:

"-.when it was night, he entered a tent and she entered with him. Abu Ayyub came there and passed the night by the tent with a sword keeping his head at the tent. When it was morning and the Apostle of Allah, may Allah bless him.”

To hide the lascivious character of Muhammad, Muslim biographers often mention that he married Safiyyahh before he slept with her. But they forget to mention that Muhammad did not follow the rule of waiting period (three monthly periods) to sleep with Safiyyahh. He slept with her the same day she was captured.

Uharo huu kamuele Gwajima
 
Uharo huu kamueleze Gwajima
 
Maisha ya mtu mweusi hayana thamani ndugu yangu,hadi udai hiyo fidia unadhani utasikilizwa?kwanza sisi weusi wenyewe tumeshagawanywa kiasi kwamba hatuoni haja au sababu ya kudai fidia,tumepumbazwa na tumekuwa mazezeta kwa dini walizotuachia na upuuzi mwingine mwingi tu unaofanana na hizi dini...na kwa upande fulani wazungu wanasemwa sana kuhusiana na utumwa lakini waarabu hawaguswi hata kidogo na ukichunguza sana utakuta ni upuuzi wa ile dini ndio unawafanya mazezeta kukaa kimya but kama tungekuwa tunajali maisha yetu tungesimama kidete kwa umoja na kudai fidia kwa mateso,madhara na kila aina ya jambo baya walilowafanyia watu wetu.......kwa taarifa yenu kama hamjui Israel mpaka leo wanalipwa fidia na Ujerumani kwa mauaji yaliyotokea wakati wa vita vya pili vya dunia,so far wameshalipwa zaidi ya dola bilioni 68 toka miaka ya 1950's mpaka sasa na kuendelea.....why inakuwa hivi?jibu ni rahisi tu, kwa kuwa wao wanajali maisha ya watu wao........
 
Back
Top Bottom