Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Mkuu Quran haibadilishwi ipo very clear kuhusu GAYS na LESBIANS

Surat An-Nisā

4.Those who commit unlawful sexual intercourse of your women - bring against them four [witnesses] from among you. And if they testify, confine the guilty women to houses until death takes them or Allah ordains for them [another] way.

Hii aya inawahusu LESBIANS

5. And the two who commit it among you, dishonor them both. But if they repent and correct themselves, leave them alone. Indeed, Allah is ever Accepting of repentance and Merciful.

Hii inwahusu GAYS

Huwezi kukuta masheikh hata siku moja wanakaa wajadili kuziondoa aya za ALLAH..
Ni wapinga Kristo kutoka vatican wanaofanya haya...

Kuhusu misikiti inayokaribisha mashoga waislamu wamekemea na wamechukua hatua na misikiti hiyo (Ambayo pia tunajua waanzilishi wao ni ma -Agent wa VATICAN)...imeshambuliwa na na inandelea kushambuliwa...

Lakini nyinyi mnafungisha kabisa ndoa za mashoga makanisani.

Angalia kaka zako hapo wanachumbiana

hakuna mahali wachungaji na mapadre wamekaa kujadili kubadili Bibilia, ili kpendezesha mashoga. Sio rahisi kihivyo. Watu wanachoweza kufanya ni kucheza na Tafsiri, Fasiri.
kama unaamini kuwa Waislamu hawajadili namna ya kubadili mtazamo dhidi ya Ushoga basi pitia hapa kwa ufupi...
http://salaamcanada.org/being-queer-and-muslim/
http://salaamcanada.org/the-salaam-support-group/

Msikie huyu shekh anaye advocate ushoga kupitia Koran, bila kum offend mtu yoyote.
What is Islam's view of homosexuality? Dr. Shabir Ally answers - YouTube

49:13. As the argument goes, Allah has created diversity of all types, so all diversity should be accepted.

Note that the Qur'an calls our attention to diversity of the following kinds and made them signs of His power and beauty: two genders, many nations and tribes, many languages and colours, and even the fact that not everyone will follow the truth of Islam.

But then again, there is a secret to Manzoor quoting 49:3. It reads:

Indeed, those who lower their voices before the Messenger of Allah – they are the ones whose hearts Allah has tested for righteousness. For them is forgiveness and great reward.

If we study the meanings of this surah, we understand that these are the people who show utmost respect for the Messenger of Allah (peace be on him), submitting to the commands of God as revealed in the Qur'an and Sunnah, not pushing their own opinions and desires.
​Hamza Yusuf - Islam & Homosexuality - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Nimemsikiliza Hamza Yusuph kwani wewe umelewa anasemaje ?
nimetaka tu... kukuonyesha kuwa Ushoga unajadiliwa na waislamu. Usidhani kwakuwa mecca wamekaa kimya basi na dunia yote waislamu wamekaa kimya wameridhika kuwa mashoga wakataliwe na dini yako.
msikize na Dr. Shabir uone sarakasi
 
Kuna tofauti ya kujadili na kupiga kura ...
Kwenye clicp ya Hamza Yusuph anatoa references kuonyesha jinsi Ushoga unavyokataliwa na hukumu yake ni kifo...
Hata Biblia imekataza haya mambo...
Lakini VATICAN kuna watu wamekaa wanajadili kama waruhusu au la (Na wamepiga Kura) wewe huoni hawa ni wapinga kristo ?

Mfano rahisi tu ...Biblia imekataza watu wasizini ...sasa kama watu wakikaka wakapiga kura kama sheria ifatwe au isifatwe huoni kuwa hao watakuwa wapinga kristo ?

Soma habari katika link hii BBC News - Catholic synod: Pope Francis setback on gay policy
"Pope Francis has suffered a setback as proposals for wider acceptance of gay people failed to win a two-thirds majority at a Catholic Church synod."
 
Ndugu yangu aya ambazo Allah anasema yeye ni mungu ziko nyingi tu na hii ni moja wapo.

Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi. (Ta-Ha 20:14, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

إِنَّنِي أَنَا اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدْنِي وَأَقِمِ الصَّلَاةَ لِذِكْرِي (Ta-Ha 20:14, Arabic - Original*)

Labda na wewe ungalituonyesha aya katika bible yesu aliposema kwa mdomo wake yeye ni mungu!

Vile vile hatutaki habari za Paulo tunataka haya ya moja kwa moja kutoka KWENYE KINYWA chake.
...Ha ah ha a akichomoka hapa, natangaza rasmi mm Nyendeke wa JF ntampokea Yesu kama Mungu na Mwokozi wa Maisha yangu.., na hatimae kuongeza idadi ya Maprofesa wa Kigalatia wanao amini kua Yesu ni Mungu teh teh teh...,
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.

OCT 19, 2014 Update:

ANNOUNCEMENT FOR UNDERGRADUATE (BSc or BA) SCHOLARSHIPS OFFERED BY THE OMAN ACADEMIC FELLOWSHIP (OAF) PROGRAM

The Ministry of Education and Vocational Training of Zanzibar, in collaboration with the Ministry of Higher Education of Oman and the Oman Academic Fellowship (OAF) Joint Committee, is pleased to invite potential applicants of qualified Zanzibaris to apply for undergraduate scholarships under the Oman Academic Fellowship (OAF) Program for the academic year 2014/2015.

ELIGIBILITY REQUIREMENTS:
1. All applicants must be Zanzibaris.
2. Applicants must have completed Advanced Certificate of Secondary Education Examination (Form VI Certificate) with Division ONE or Division TWO. Preferences will be given to applicants with higher grades.
3. Applicants must not exceed 25 years of age.
4. Proof of study in Zanzibar for complete of 3 years of Secondary levels, from Form IV to Form VI.

APPLICATION PROCEDURES:
All applicants must fill out the electronic application through the Higher Education Admission Center via website: www.heac.gov.om

Applicants must upload the following scanned documents:
i. Identification Documents (Zanzibari ID card and Passport)
ii. Advanced Certificate of Secondary Education Examination (Form VI certificate).
iii. Certificate of Secondary Education Examination (Form IV certificate).
iv. Birth certificate.

Note: Any application that does not have all the above-mentioned documents will be incomplete and will not be considered.

PROGRAM AREAS: (BSc or BA)
1. Petroleum Engineering
2. Computer Engineering
3. Maritime Engineering
4. Electrical Engineering
5. Medicine
6. Pharmacy
7. Petroleum Geology
8. Geophysics
9. Information Technology
10. Fisheries and Aquaculture
11. Economics
12. International Relations

Electronic Applications should be submitted between 12th November, 2014 to 11th December, 2014.
For further information or assistance on how to fill out electronic applications, please do not hesitate to contact Hamid Makame at the Consulate of Oman in Zanzibar on 0242 230066 or 0242 230700.
Note: Successful applicants shall be informed by formal letters, which shall include all scholarship benefits and specific amounts of allowances they will be under the scholarship.

Source: SUZA website: http://www.suza.ac.tz/oaf.pdf
 
Mm huyu Qaboos wananchi wake hawapi anataka Kuwapa wa Zanzibari? Aoe kwanza awe na mkewe asilete story zake Za kutaka kuwaharibu watoto wa wenzao...
 
Mm huyu Qaboos wananchi wake hawapi anataka Kuwapa wa Zanzibari? Aoe kwanza awe na mkewe asilete story zake Za kutaka kuwaharibu watoto wa wenzao...

You are just an ignorant pathetic being, I am sure you would clap your incopetent hands if the scholarships were directed right here in Tanganyika.
May be you hate Zanzibaris and find no consciousness to the significance of this aid to Zanzibar in comparison to scholarships provided to Tanganyikans via many world donors institutions including the religious entities where rampant pediophile activities globaly.
 
Sio wa Oman tu, na wajerumani na waingereza pia uwashtaki utapata fidia kubwa mana juzi Mau Mau Victims wamekubaliwa kulipwa.

Lakini Mkuu ukilitazama kwa kina utagundua sisi tulikuwa tukiuzana wenyewe kwa wenyewe.Hata wale Viongozi wengi waafrika tunao wasifia kwamba walikuwa wazalendo na hawakukubali kutawaliwa kirahisi ,ukichunguza utagundua ni wengi ni wale waliokuwa wakifaidika na biashara ya Utumwa.

Hii nitofauti kidogo na vita vya maumau ambavyo vilikuwa dhidi ya wazalendo na wakoloni na mkoloni alitumia njia za Kikatili kabisa ilikukomesha wapiganaji wa Maumau.Huku kwetu wanaoweza angalau kutumia kigezo cha Maumau kwa maoni yangu ni wale walioathirika na vita vya Majimaji.Kimsingi viongozi wengi wa Kiafrika tunaowaona mashujaa walikuwa hatari zaidi na wabaya kuliko hao wa Oman.Walikamata majirani zao na kuwauza kama mateka wa vita n.k..

Iwapo Historia itaandikwa upya na kwa ukweli bila kuremba remba na kuficha vitu kunamambo mengi kabisa yatabadilika na wale walio onekana viongozi goigoi wakawa mashujaa na wale mashujaa wakabainika kuwa walikuwa wasanii tui walio watumia wananchi wao kwa manufaa yao binafsi.
 
You are just an ignorant pathetic being, I am sure you would clap your incopetent hands if the scholarships were directed right here in Tanganyika.
May be you hate Zanzibaris and find no consciousness to the significance of this aid to Zanzibar in comparison to scholarships provided to Tanganyikans via many world donors institutions including the religious entities where rampant pediophile activities globaly.
angalia ulivyo na mawazo finyu,kwa taarifa yako mie ni Mzanzibari na sina ubaguzi wakijinga kama wako
ndio nyie mnao penda vya bure usojijua............
 
angalia ulivyo na mawazo finyu,kwa taarifa yako mie ni Mzanzibari na sina ubaguzi wakijinga kama wako
ndio nyie mnao penda vya bure usojijua............

Then Shut up and let your brothers and sisters who are the main benefectors of the scholarships to enjoy the aid. If you are not elligible bcz when the SMZ provided free education you were busy running the streets of Bongo enjoying the free wild nights of Dar.
It is not necessary to comment somethings of not your concern. You did not even understand what I wrote back to you and yet you claim you are Zanzibari. Teh teh teh.
 
Hata mnachogombania sikioni, haya mambo yalinufaisha sana watu unazani bila ya utumwa kina michael jackson wangetokea wapi, try to convert every challenge you get into opportunity
 
You are just an ignorant pathetic being, I am sure you would clap your incopetent hands if the scholarships were directed right here in Tanganyika.
May be you hate Zanzibaris and find no consciousness to the significance of this aid to Zanzibar in comparison to scholarships provided to Tanganyikans via many world donors institutions including the religious entities where rampant pediophile activities globaly.

hivi hujui Kiswahili? Naona Kiingereza unakiandika anticlockwise kama kiarabu vile
 
Hata mnachogombania sikioni, haya mambo yalinufaisha sana watu unazani bila ya utumwa kina michael jackson wangetokea wapi, try to convert every challenge you get into opportunity

how do you convert uarabu/uislam into opportunities worth grabbing?

Unataka tuanzishe makundi kama "panya road" na "wamarekani weusi"?
 
Then Shut up and let your brothers and sisters who are the main benefectors of the scholarships to enjoy the aid. If you are not elligible bcz when the SMZ provided free education you were busy running the streets of Bongo enjoying the free wild nights of Dar.
It is not necessary to comment somethings of not your concern. You did not even understand what I wrote back to you and yet you claim you are Zanzibari. Teh teh teh.

Punguani wewe usiejijua wala usojua una ongea pumba gani...
 
hivi hujui Kiswahili? Naona Kiingereza unakiandika anticlockwise kama kiarabu vile

You seem you are the other one who finished halmashauri school, come to Gerezani Sikh Temple we will teach you English the Language of your Bwanas.

You treasure everything given by Muzungu, even at the expenses of your humanity they have clipped your dirty corrupt hands (escrow and more to come) bcz they want you all to be gays. I am sure if the aid was given by Cameron with the conditions of being married to a white men same sex you will happily walk in reverse mode towards them. Teh teh teh.
 
Back
Top Bottom