Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Wewe umeshapoteza uhalali wa kujadiliana na mimi ...
Unaingia kwenye kundi la vichaa kuamini yesu ni mungu ....
na hapo juu umeleta kiroja chengine ..Eti yesu (MUNGU) anongea na baba yake...
Halafu kila siku mnapiga kelele humu eti mmesoma kuliko waislamu...lakini mmeshindwa kuelewa very simple Logic
YESU sio mungu ....
Kama unataka uhakika kawaulize wale jamaa waliomtandika makofi na kumtembeza na chupi mtaani
You don't have any evidence than venomous spew.

Allah anateremsha aya na kusema:
Quran 15: 6. Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.

MUHAMAD ANASEMA
Q 46:9. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Q19:71. Wala hakuna yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia(hiyo Jehanam). Ni wajibu wa Mola wako uliokwisha hukumiwa.

Na ktk Sahihi Al-Bukhari IV, Hadith Na. 728, na VI, Hadith Na. 294. Muhamad anasema Eeh ndugu zangu Abdul Manaf, Abbas bin Abdul bin Mutalib, Safiyyah(shangazi) na binti yangu Fatima mimi sina uwezo wa kuwaokoa dhidi ya ghazabu ya Mungu.

Q 10:102. Basi, je! Wanangojea jingine ila (kuwajia) mfano wa siku za (adhabu zilizowafika) watu walio pita kabla yao? Basi Ngojeni! Mimi pia ni pamoja nanyi katika wanao ngojea.

Fafanuzi yake: Ukimwone mwenzio amenyolewa kwa jambo hilo hilo unalolifanya, basi kitie maji upesi kichwa chako kwani na wewe utanyolewa km alivyonyolewa.

Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.

"Mwenye kubadili dini yake (ya kiislamu, muueni" (A) Bhukari 6922, Abu Dawuwd 4329, At - Tirmidhiy 1483
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu. "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", by Ibn Sad, , ukurasa wa 225

Hakika umepotea wewe mfuasi wa huyo jamaa hapo juu.
Eiyer Mkuu wa chuo 2013
 
You don't know the truth and the truth is not in your fiendish cult of Sikh, in contrast, Jesus is the truth. Now, it is up to you to follow Messiah Jesus Christ who is Omnipotent and creator of all things, or follow your road to hell and eternal condemnation.

Jesus is the way, the truth and the life. Period.

What Omnipotent Jesus, the guy who died on the cross killed by the same people you xall them your friends and Allies the Zionist Jews?
Omnipotent does not die and yet you declare yourself a learned and enlightened Mr. SHIMBA, dead carcas on tje slot is never God.

The only truth is The God of all Muslimans.
Come with me in the temple of golden lights. We fore saw it in our holy books
 
What Omnipotent Jesus, the guy who died on the cross killed by the same people you xall them your friends and Allies the Zionist Jews?
Omnipotent does not die and yet you declare yourself a learned and enlightened Mr. SHIMBA, dead carcas on tje slot is never God.

The only truth is The God of all Muslimans.
Come with me in the temple of golden lights. We fore saw it in our holy boolsz
Jesus is not Dead but Alive. It is your deity who is dead known by the name of Muhammad aka Allah.
 
You don't have any evidence than venomous spew.

Allah anateremsha aya na kusema:
Quran 15: 6. Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.

Eiyer Mkuu wa chuo 2013

Wewe Quran Huiwezi ..biblia yako imekuchanganya mpaka umekuja na tafsiri kuwa YESU NI MUNGU..
kama biblia imekushinda Utaiweza Quran ?

Kwa kukusaidia tu aya uliyoitoa ipo Katika Surat Hijri na hapo wanzingumziwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria kama wewe ...

Surat Al Hijri aya ya sita...
6.And they say,"O you upon whom the message has been sent down, indeed you are mad.
7.
Why do you not bring us the angels, if you should be among the truthful?"
8.We do not send down the angels except with truth; and the disbelievers would not then be reprieved.
9.Indeed, it is We who sent down the Qur'an and indeed, We will be its guardian.

You don't have any evidence than venomous spew.

Allah anateremsha aya na kusema:
Quran 15: 6. Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.

MUHAMAD ANASEMA
Q 46:9. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Q19:71. Wala hakuna yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia(hiyo Jehanam). Ni wajibu wa Mola wako uliokwisha hukumiwa.

Na ktk Sahihi Al-Bukhari IV, Hadith Na. 728, na VI, Hadith Na. 294. Muhamad anasema Eeh ndugu zangu Abdul Manaf, Abbas bin Abdul bin Mutalib, Safiyyah(shangazi) na binti yangu Fatima mimi sina uwezo wa kuwaokoa dhidi ya ghazabu ya Mungu.

Q 10:102. Basi, je! Wanangojea jingine ila (kuwajia) mfano wa siku za (adhabu zilizowafika) watu walio pita kabla yao? Basi Ngojeni! Mimi pia ni pamoja nanyi katika wanao ngojea.

Fafanuzi yake: Ukimwone mwenzio amenyolewa kwa jambo hilo hilo unalolifanya, basi kitie maji upesi kichwa chako kwani na wewe utanyolewa km alivyonyolewa.

Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.

"Mwenye kubadili dini yake (ya kiislamu, muueni" (A) Bhukari 6922, Abu Dawuwd 4329, At - Tirmidhiy 1483
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu. "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", by Ibn Sad, , ukurasa wa 225

Hakika umepotea wewe mfuasi wa huyo jamaa hapo juu.
Eiyer Mkuu wa chuo 2013
yaani mtu akisoma mistari yako lazima atajikuta anatabasamu kama sio kucheka kabisaha ha ha ha.. Anyway Thank youuuuuuuuuuuuuu
 
What Omnipotent Jesus, the guy who died on the cross killed by the same people you xall them your friends and Allies the Zionist Jews?
Omnipotent does not die and yet you declare yourself a learned and enlightened Mr. SHIMBA, dead carcas on tje slot is never God.

The only truth is The God of all Muslimans.
Come with me in the temple of golden lights. We fore saw it in our holy boolsz
Japo mUhammad ni mpinga kristo lakini aliikubali Injili akaiita ni nuru. Japo yeye aliendelea kukaa Gizani, akiwa hajui atafanywa nini na Mola wake..siku ya Kiama. Mpaka leo wana mswalia mtume ili Mungu amrehemu.
nakushauri soma injili upate Nuru ya YEsu (simaanishi ukremu manake waweza kremu usielewe), ndipo utaelewa njia gani ni sahihi. Yesu ndiyo Jibu.
 
WAISLAM. LETENI AYA KUTOKA QUR'AN ambayo ALLAH anasema NA KUKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA:::: MIMI ALLAH NI MUNGU.

Sitaki aya ya mtu mwengine anazungumza bali awe ALLAH ndie msemaji katika hiyo aya.

Ndugu yangu aya ambazo Allah anasema yeye ni mungu ziko nyingi tu na hii ni moja wapo.

Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi. (Ta-Ha 20:14, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

إِنَّنِي أَنَا اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدْنِي وَأَقِمِ الصَّلَاةَ لِذِكْرِي (Ta-Ha 20:14, Arabic - Original*)

Labda na wewe ungalituonyesha aya katika bible yesu aliposema kwa mdomo wake yeye ni mungu!

Vile vile hatutaki habari za Paulo tunataka haya ya moja kwa moja kutoka KWENYE KINYWA chake.
 
Twakusoma tartiiiiiiiiiiiiiiib
 
Japo mUhammad ni mpinga kristo lakini aliikubali Injili akaiita ni nuru. Japo yeye aliendelea kukaa Gizani, akiwa hajui atafanywa nini na Mola wake..siku ya Kiama. Mpaka leo wana mswalia mtume ili Mungu amrehemu.
nakushauri soma injili upate Nuru ya YEsu (simaanishi ukremu manake waweza kremu usielewe), ndipo utaelewa njia gani ni sahihi. Yesu ndiyo Jibu.

Bosi unapotea njia...
Wapinga Kristo umewaona Juzi vatican wanajadili waruhusu ushoga au la ...
Kura zimepigwa huko wengine wamekubali wengine wamekataa...
Yani nyinyi mnakaa mnapigia kura sheria za mwenyezi mungu ?

Ukitaka kumuona mpinga kristo wala usihangaike kumtafuta...mwangalie mkiristo mwenzako au jiangalie mwenyewe kwenye kioo...

Biblia version mpya inakuja muda si mrefu kuruhusu ushoga
 
Hii habar ya kuchekesha m mbona napiga mzigo mascat na nina miaka miwili na nimeshapiga hela ndefu utadhan nimepiga kazi miaka 10 . Ila changamoto kwenye kazi mbona duniani kote zipo
 
Kuna watu wengine hawajui lolote humu ilimrad tu. Kwan wake wwatu weuc walioko american brazil na bara la ulaya wakipelekwa na nani kule? Au umewaona wa oman tu? usiwe mjinga muengerrza ndo alikua mtu mashuhur kwa biashara hii baada ya kunufaika ndo akajua haki za binadamu.
 
Japo mUhammad ni mpinga kristo lakini aliikubali Injili akaiita ni nuru. Japo yeye aliendelea kukaa Gizani, akiwa hajui atafanywa nini na Mola wake..siku ya Kiama. Mpaka leo wana mswalia mtume ili Mungu amrehemu.
nakushauri soma injili upate Nuru ya YEsu (simaanishi ukremu manake waweza kremu usielewe), ndipo utaelewa njia gani ni sahihi. Yesu ndiyo Jibu.

2+0+1+3 = six in trinity = The Beast:thumbdown::thumbdown::thumbdown:
 
Bosi unapotea njia...Wapinga Kristo umewaona Juzi vatican wanajadili waruhusu ushoga au la ...Kura zimepigwa huko wengine wamekubali wengine wamekataa...Yani nyinyi mnakaa mnapigia kura sheria za mwenyezi mungu ?Ukitaka kumuona mpinga kristo wala usihangaike kumtafuta...mwangalie mkiristo mwenzako au jiangalie mwenyewe kwenye kioo...Biblia version mpya inakuja muda si mrefu kuruhusu ushoga
ingekuwa inapigiwa kura kubadili Bibilia si Dunia ingecharuka... Kilichopigiwa kura ni hoja zinazohusu na misimamo ya kanisa dhidi ya mashoga . Kwani kuna sheria za kanisa na sheria za Mungu. Upo hapo...nenda kapitie zaidi ... Pope amesema heri huu mjadala ulijadiliwa ili kuondoa manung'uniko yaliyo kuwa yakivumishwa chini kwa chini... kwani umedhihirisha ushoga ni janga kwa familia na msimamo wa kanisa umebaki vilevile kwa kuukataa. pia usijisahahu sana ukadhani kwa mtu kuwa mkristo ndiyo inatosha kuiona mbingu.. kama ilivyo kwa nyinyi watu wa dini. Ukristo ni maisha. Sio idadi ya watu wala jina la kanisa. KWa hiyo ku-jenerolize wakristo nayo haina mashiko ila kujenorolize vikofia ina make some senses there...

Dunia nzima kuna misikiti ya mashoga kuanzia france(japo serikali ya france iliikataa si kwasababu za dini bali haiendani na utamaduni wa taifa hilo lenye kushindana kiutamaduni na USA)
nyinyi mmefanya ni ni zaidi ya kukaa kimya..mmechagua"Appeasement policy" . na huku mkijisemea kimoyomoyo kuwa hamuwakubali. mnadhani wanavyoongezeka mtaweza zuia presha yao. Pita Tanga na mwambao wa Pwani mpaka Mombasa ndo utajua kinachoendelea. Tena hawa jamaa walimsifu Obama na Camerun kwa kauli zao.
Tena ukichanganya mnapambana kupata waumini kwenye Western world ambapo idadi ya waislamu ni ndogo na mashoga wanajiunga na dini yenu wakitaka kukubalika.

Ikiwa kuanzia misikiti ya Canada, USA, Ulaya, Egypt, South Africa, Moroco pakistan na kwingineko wamekuwa wakiongezeka everyday. Still hamjatoa kauli. kama ambavyo hamjawahi toa kauli kuhusu Ugaidi... nakumbuka mara ya wmisho kusikia kauli ni kuhusu Salman rushdie ndiye aliyepewa "Fatwa" alipotoa ukweli kwenye kitabu chake chenye taito Aya za Shetani. Nadhani haijatokea tena. Hata hili la kundi la ISIS ni kama mnaburuzwa na presha za wazungu, hamjalitolea kauli nyinyi.

Waganga wa kienyeji na wapiga ramli hapa bongo ni wa dini gani kwani? Waarabu waliwatoboa visigino babu zetu dah inauma sana waliobaki arabuni wakahasiwa kabisa
 
Kufuatana na world history ya kweli ni kuwa watumwa wa kwanza kufikishwa Carribian walikuwa ni Wazungu (Wa-Slav) sasa hivi nchi yao inajulikana kama Slovania.

Tatizo ni hali ya hewa ilikuwa ikiwasumbua na baadhi ya mabwana wa utumwa hawakujisikia raha kuwatumikisha Wazungu wenzao ndipo likazuka wazo la kuwachukua Waafrika hasa hasa Waangola.
..hivyo unaweza kuunganisha kwa nini wana blonde eyes.

Kwa upande wa Brazil waliofikishwa kule wengi wao ni kutoka Nigeria/Ghana kutoka katika makabila yao makubwa.

Asilimia 40 ya watumwa wote walikuwa ni Waislamu hivyo walitumiwa barua ya ku-revolt kama aina ya Jihad waka - revolt na kurudi Nigeria.

Walifungua Msikiti ambao mpaka leo upo unaitwa Brazilian Mosque.

Achana na historia za Wamishenari na usome historia sahihi ya dunia.
Mkuu sio nchi yao inaitwa slovenia,ni hivi enz za kale watu wa ulaya mashariki ndio walitumiwa kama watumwa either na warumi au ottoman empires.ni hawa easten europens are collective called slavics hence the name slave.waslav ndio hasa nchi yao ile iliosambaratika Yugoslavia. Pia slavics leo ni watu ka wa russia ukraine serbia slovenia belarus etc
 
ingekuwa inapigiwa kura kubadili Bibilia si Dunia ingecharuka......
Mkuu Quran haibadilishwi ipo very clear kuhusu GAYS na LESBIANS

[h=1]Surat An-Nisā[/h]4.Those who commit unlawful sexual intercourse of your women - bring against them four [witnesses] from among you. And if they testify, confine the guilty women to houses until death takes them or Allah ordains for them [another] way.

Hii aya inawahusu LESBIANS

5. And the two who commit it among you, dishonor them both. But if they repent and correct themselves, leave them alone. Indeed, Allah is ever Accepting of repentance and Merciful.

Hii inwahusu GAYS

Huwezi kukuta masheikh hata siku moja wanakaa wajadili kuziondoa aya za ALLAH..
Ni wapinga Kristo kutoka vatican wanaofanya haya...

Kuhusu misikiti inayokaribisha mashoga waislamu wamekemea na wamechukua hatua na misikiti hiyo (Ambayo pia tunajua waanzilishi wao ni ma -Agent wa VATICAN)...imeshambuliwa na na inandelea kushambuliwa...

Lakini nyinyi mnafungisha kabisa ndoa za mashoga makanisani.

Angalia kaka zako hapo wanachumbiana

Last edited by a moderator:
Omani.jpg

Mwarabu mweusi akiwa katika vazi rasmi la......................kiarabu
 
Back
Top Bottom