Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
haahahahah eti anatudanganya amelelewa vizuri,huku JF bana,tunadanganyana sana,wenginetunawasoma miandiko yenu,lol, embe huzaa embe sio nanasi,ukilelewa vyema na wazazi unatoka a well rounded person,huo ndio ukweli…h
He is sick and sad he doesn't know that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa tufikie hatua tukubali kuwa hapa JF tupo watu wa aina tofauti tofauti na siku zote mtu usiemjua usijiwekee expectations kuwa huyu yupo hivi ama vile.

Hapa tupo watu wa aina tofauti sana kuanzia umri, tabia, nia na malengo ya kuwepo, wasomi, wasiosoma na aina nyingine tofauti kabisa.

Kuna wengine humu ndani sio watu huwezi kuamini. Yaani sio binadamu kama ID zinavyoonyesha na jinsi tunavyo interact nao.


Chamuhimu ni kufuata wewe kilichokuleta.

Kama umefata papuchi wewe mwanaume alafu ukakutana na mwanamke aliefata nae mambo hayo mkazinguana huna haki ya kumsema mwenzako vibaya maana na wewe ndio wale wale tu.

Mtu unajisifu umetongoza wanawake kibao JF alafu unaanza kutaja tabia zao kwa kuwachafua bila kujiangalia wewe kama usingekuwa mchafu ungezijuaje hizo tabia chafu za hao wanawake?

Ungekuwa sio mhuni na mzinzi ungetongoza vipi hao wanawake wote na kujua tabia zao.

Nasikiaga mnasema 'nyani haoni kundule' sielewagi maana yake!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mie nahisi waanze kupiga ban,mtu anayezungumzia vibamia,masingle mazas etc
 
Andika mashudu yako utakavyo! .hapa unataka ku pick up a fight na mie..pole we!..dunia itakufunza..shwain!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiiiiii hahahahaha Dunia itanitua??? Hahahajahahah hahahahahaha nmechekaaaa sanaaaaaa yan saaana.

Kile kipindi nmepewa BAN ulisema ivoivo..nikakuambia mimi siwez ikimbia ID yangu maana ndo uhalisia wangu.

Umeona nmerudi,, na Ninaendelea vilevile..nalabda nikuhakikishie kitu Hamna cha Dunia wala bibi yake

Sanasana mimi na akina guDume na wengine ndio tunatumika, kuwafunza kama wewe, ili mzione pande zenu zapili za Sarafu ambazo hampendi kuambiwa !!!


Utasubiriii sanaa Dunia inifunze, nahaitokaa inifunze kwasababu Nina elimu ya Dini, Malezi, maisha ......... Itaanzia wapi???...uzuri tuko humhm JF... Mtakua mnabadili ID mzee baba nipo tu nadunda .
 
Huu uzi utaibua WW3 soon hapa jf .. I smelled something fishy here " .... jamani wakuu baadae " ngoja nihame jukwaa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora unaeaga mapema

Mimi nimeona toka juzi nachangia kwa tahadhali kubwa kwan unaeza shambuliwa na usijue umekosea wap

Kuna jukwaa la jokes nenda kacheke kidg mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haahahahah eti anatudanganya amelelewa vizuri,huku JF bana,tunadanganyana sana,wenginetunawasoma miandiko yenu,lol, embe huzaa embe sio nanasi,ukilelewa vyema na wazazi unatoka a well rounded person,huo ndio ukweli…h
Hahahahaha uwiiiiii hahahahahahahahahau kumbe??? Basi Hata wazazi wauzao Maembe bado wanatosha kulea watoto wao Vzuri sana na watoto wakaleleka namwisho wakawa Wanaojitegemea.

Point nikwamba, nmelelewa maisha mazuri yalonipa malezi na elim ya Dunia, Dini na maisha kwa ujumla wake.


Haoooooo Mloshindwa hahahaha tunaingia 2019 bado hueleweki tu ....JF members .
 
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
Na nyie acheni kuwaza kama chura!
Sorry nahisi nitakuwa muhanga wa Tatizo[emoji23] [emoji23]

Sent by Diaspora
 
Binafsi huwa sipendi kabisa kuwa ongelea wanawake vbaya kwa sababu " katika vijiutafiti vyangu nilivyo vifanya nimebaini kwamba hata sisi wanaume huwa tuna changia kuwa haribia maisha yao nakuwaingiza katika aina ya maisha ambayo hayastahiki wao kuwa nayo

Katika umri huu nilionao ambao naweza kusema ni wa-wastani " nimeshaona wanawake wengi sana wakipitia tabu na majuto ambazo nyingine zilisababishwa na sisi wanaume iwe ama kwa makusudi au bahati mbaya..

Nimeshaona " mabinti wakipewa mimba halafu wakaishiwa kutelekezwa " nimeshaona " vibinti vidogo vikiolewa na wazee " nimeshasikia mabinti wadogo wakibakwa " nimeshaona wakikatishwa masomo na kunyimwa haki yao ya msingi ya kuelimika nkwa chagizo tu la Jamii yetu wanaume kuamini kwamba mwanamke hafai kuelimishwa " tutapoteza pesa "

Nimeshaona wanaume tukitumia pesa kwa minajili ya kuwa honga marafiki wa wake zetu/gf zetu ili wawasaliti marafiki zao natupate kushiriki nao kingono

Achilia mbali rushwa za ngono vyuoni na makazini " (ijapo kuwa kuna wanawake ambao nao huwa wanataka rushwa hiyo toka kwa wanaume ) lakini wahanga wakuu katika hili huwa ni wanawake "

Sehemu kubwa pia ya watawala wa huu ulimwengu ni wanaume " mara nyingi " tunapo leta machafuko duniani " Huwa tunawaingiza wanawake na watoto Katika tabu kubwa na mateso " wakati hata hawakuwepo wakati machafuko hayo yanapangwa kufanyika na kama walikuwepo basi ni wachache " ..so bado hatuwezi kukwepa hizo lawama ".

Hizi ndio sababu ambazo huwa zinanifanya nisi wakashifu Wanawake kwa sababu huwa natambua kwamba " sisi huwa tunachangia sana " kuwafanya wawe watu wa hovyo " mpka kufikia hatua ya kuwaona kuwa hawafai "


Licha ya hivyo pia " nyinyi wanawake " mnapaswa kukaa chini na kujiuliza kwanini kila siku msemwe nyinyi tu " msiwe mnachukia kusemwa tu " hamuwezi kuwa mnasemwa bila sababu " je mlishawahi kutafuta suluhisho la hayo matatizo yanayo fanya msemwe " nakuonekana kuwa hamfai " !!!?

Au mnaishia kulalamika ili muonekane kwamba mnaonewa " huku mkisahau ule msamiati unaosema kwamba lisemwalo lipo "



Sent using Jamii Forums mobile app

Naona watu mnashindana ku psychoanalyze watu kupitia mtandao.

It ain’t that serious people!

Or is it?

Moja ya tatizo ni ku treat watu kama kundi badala ya ku treat watu kama individuals.

Wanawake wote siyo wema. Fact.

Wanaume wote si wabaya. Fact.

So why not treat people individually based on the content of their characters and not this sweeping generalization of a whole group of people?

Men are not monolithic and so do women.
 
Nadhani ukijiheshimu utaheshimika,ukiwa na dharau utadharauliwa pia......so nikujitambua tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom