Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Hivyo hivyo kufuva au Ku fula[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi umejaza unga wa kiberiti halafu unaipiga badala ilie paaaaaaah!!! Inalia fyuuuuu[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepatia hadi nimecheka kinyume nyume
 
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..

Berky

Kumetokea nini tena?

Maana mimi sijawahi kukuudhi ati.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom