[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepatia hadi nimecheka kinyume nyume
Hahhahah nimecheza sana hiyo michezo nikiwa 12yrs kushuka chini.
Likizo zilikuwa zinanikuta moshi. Muda kama huu tumeshatoka kanisani mkesha tupo barabarani. Kaka zangu kazi kunituma kuiba viberiti vya bibi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yashaisha mkuu,usifukue makaburi,lol..
Matairi ya watu yanaenda kuibiwa yaliyooteshewa maua.Hahhahaha damn... Vp kupiga madebe?
Na kuchoma matairi sema hii wanabush si sna labda kipande chenu cha TPC kule na Ngaramtoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Matairi ya watu yanaenda kuibiwa yaliyooteshewa maua.
Madebe tena hiyo ni lazima kila familia inatoka nje inapiga.
Halafu inakuwaga kipindi cha maembe yameanza kuiva baadhi ya mashamba ya watu..basi usiku huo ni kuiba maembe tuu na kuyala[emoji23][emoji23].
Utoto raha sana.
Happy New year 4G LTE ..
The Mangi's..
Mbona hujawaongelea wanawake wanaobeba mimba na kuzitoa kikatili pengine ili waendelee na starehe zao.Wengi wameumizwa kihisia
Aidha walitelekezwa na mama zao wakiwa watoto,ama waliumizwa na wapenzi wao waliowapenda na kuwaamini.
Wamejeruhiwa so wametengeneza chuki na kila mwanamke ama jinsia ya kike .Ni wagonjwa wa kiakil bila kujijua.Wasamehe na uwaombee huenda wakapona siku moja.
Wanadhihak wanawake na kuwadharau wanasahau ni kupitia hayo maumbile ya mwanamke walikuja duniani.Hata uyatukane maumbile ya mwanamke vipi ama umdhalilidhe vipi atabaki kuwa mwanamke na msaidizi wa muumba katika uumbaji.
Mungu alimuumba mwanamke ili akasaidie kazi ya uumbaji na jukumu hilo haliwezi badilika kamwe na umuhimu wa mwanamke utabaki enzi na dahari.
Wengi utawatambua kwa comments na mabandiko yao hapa jf,wanastahili kuonewa huruma na ikibidi kupatiwa msaada wa kisaikologia.
Sihitaji kuwataja wanajijua and nashauri its about time watafute msaada wa matibabu,tuna wataalamu wengi wa magonjwa hayo kwenye hospital zetu zote kubwa nchini Tanzania.
Mwisho niwape moyo wasichana na wanawake wenzangu msivunjike moyo.we we ni kiumbe wa pekee na uliletwa duniani kama mwanamke kwa sababu.Una nguvu kama malkia esta,kama Eva/hawa,Mariamu mama yake Yesu,Malkia wa Sheba na wanawake wote mashujaa wa enzi na enzi.Wewe ni dhahabu maneno hata kwenye kanga yapo.Hakuna mtu wala maneno machafu ya mtu ya kukushusha isipokuwa wewe mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umegusa point's sensitive sanaMbona hujawaongelea wanawake wanaobeba mimba na kuzitoa kikatili pengine ili waendelee na starehe zao.
Mbona hujagusia hata wale wanaozaa watoto na kuwatupa kwenye mifiko ya rambo wengine wanawatupa ht kweny mashimo ya vyoo!!!!
Mbona hujagusia hata hao wanaowalisha sumu watoto wao ili wabaki free kupiga starehe!!!!!
Wanawake (baadhi) ni makatili tu hata ukipindishaje ukweli utabaki palepale na ndo maana hao ndo huwa wanatia nyongo mioyo ya wanaume na kujenga chuki juu yao.
Wanawake ndio wanaongoza kwa usalit katika ndoa nyingi tunaona malalamiko pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
heri ya mwaka mpya 2019 Rebeca 83Asante na wewe,ukawe mwaka wa happiness,joy, success na good health..
Hahahahaaa worry out my dear! Unajua jf bwana unaweza toa wazo lakn akaja member mwingine akawana na maoni tofauti kbs juu ya yale uliyoyatetea ila wote ni kuelimishana tu na kuwekana sawa.Dah umegusa point's sensitive sana
Ila niseme nilijibu kutokana na mada
Am sorry and happy new year to you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasie,You know what Nyani Ngabu
What comes around goes around.
Thread ya Dadii ndo aliyelengwa ila anaibuka mtu na kuanza kumnanga Dadii what what....
Laters off
Nimeona jina na mume tu hapo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpe hi shem[emoji23][emoji23]demi mie sio mtata ht nukta juzi kuna mama m1 nesi aliniita akaniambia ww dada upo tofauti sana na hawa wenzako ww kabila gan nikamwambia sukuma[emoji23][emoji23]akasema ndo maana akasema ww mdada mstaarabu sana sana nakupenda san ..sasa ww unnaiita mtata..mie sio mtata demi hunijui tu fresh tena naambiwaga nimelogwa...ila sipend kbs kuonewa..ht boss anionee nalipukaga sana[emoji23] ..am cool..ww usinipotezee mume@elli79
Nimeona jina na mume tu hapo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpe hi shem
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamka kuwachungulia.. happy New year Kingkama nawe umri umesonga basi ni heri kwetu, kumbuka mvinyo wa kale ndio haswa unaolipa...njoo tufaidiane, halafu demi amelala sie tufanye yetu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app