Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Ni kwa sababu ni online tu.

Nakuhakikishia siku itapotokea tumekutana ana kwa ana na baadhi ya watu mtasikia tu.

That’s a guarantee.
Wewe coward of the county tu.

Wanaojua kupigana hata hawajinadi na kutisha watu kama wewe. They are cool and chilled. Its like when you go into the club the baddest muhufukas huwa wako kimya kwenye kona wanakunywa na kusmoke slowly.
Kwanini tusiandae pambano la ngumi between me and you tuone who is the beast and undisputed.

Just fair and square.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuepusha ugomvi usimjibu mamy hata yeye nadhani anakutisha tu hawezi kufikia huko msamehe maisha yaendelee.
wewe mchokozi, but sina sababu ya kumchukia nisiyemfahamu, nafikiri nilishasema naishia pale lkn naona hata yeye hakuelewa kuwa sitaki kuendelea zaodi.
kwa kifupi mimi sio (mzushi) wala sio (mgomvi/mwonevu) ninaheshimu wanawake, hayupo niliyewahi kumwuumbia humu hata ninayejua weakness yake.
Endapo hajaelewa kuwa sitaki kumuumiza basi anaweza kuendelea tu lkn mwisho wake mimi siutani kwani hautavutia
@Reynavero
pokea mwaka kwa amani
ushauri wangu kwako;
badilika na uache uswahili swahili wewe
taaluma yako ni nyeti hata kama watu hawakujui..wewe itendee haki taaluma yako na kwa hiyo utaheshimika na wenye heshima kuliko kutukuzwa na watu wasiokiwa na future kwa uswahili wako.
nakutakia mwaka wa baraka 2019..
nakuahidi hutoisikia sauti yangu ikuonyayo tena[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UZI WA GUDUME UMEACHA ATHARI KUBWA SANA. WANAWAKE ALIOWATAJA BADO WANAWEWESEKA.😂😂😂😂😂
Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana - JamiiForums

Wamejaribu kuunda hata Ushirika wa kutiana Moyo. Mbona Bro alisema wapo wachache wenye akili. Kwa nini wengi wamekasirika. Coalition of the single mothers and unmarried women.😂😂😂

Then yeye kaendelea na maisha yake. Wengi wanakuja kujisafisha.sikutegemea ule uzi utawagusa watu hivi. Mimi nmekuwa nikilalamika humu wanawake wengi hawana akili,makahaba, wanajiuza nikasemwa mimi mgeni sijui nini.amesema mtu mzoefu nmeona moto wake.

Wanawake wenye akili wamo humu wa kuhesabu sana. Na wanaume pia wenye akili wapo. Mimi sometime yes sometime no.😂😂😂 Nahitaji povu nikafulie.

hivi kama.wanauza ww unateseka na nn??yaan mfano mm nimuuzie mtu humu ww huko na utajiri wako.unatesekea nn?au mapumbu yako yananywea?au mkundule wako unatanuka? hebu waache watu waishi waoendavyo ww ni nan ht uwasemee..wanwake malaya wanaachaga umalaya automatic wenyew...iwe kwa kumpaya mr RIGHT au kwa kutendwa vibaya..hebu vibane vipumbu vyako vilivyosinyaa hvyo km una ukoma basi!
 
Kwa mdada ambaye bado hajaolewa na hana mtoto;Ajitahidi sana kujitunza aepuke kuwa na mtoto kabla ya ndoa.Mivutano iliyomo humu kuhusu 'single mothers' inaakisi mitazamo ya watu wengi katika jamii.Kuepuka kufifisha ndoto yako hapo baadae, jitahidi kujitunza.

Siwachukii 'single mothers' ila huo ndio ukweli.Nawatakia mwaka mpya mwema.
Ukiishi kwa matakwa ya wanaume wa jf ...utapata shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My dear kuna katabia humu ka watu kupeana story huko pm,halafu mmoja anajitoa muhanga

Binafsi nimeshashambuliwa humu na ID ambazo hata sizifahamu,
Muweke kwenye Ignored list

Endelea na mambo yako, huna haja ya kuumiza kichwa na vitu ambavyo havina mchango katika maisha yako
Stay positive
Remain calm dear [emoji8][emoji8]
Thanks!!!tayari kwa Mara ya kwanza nimemueka ignore...halafu namjua na namheshimu sana ana yake huyuu!!![emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UZI WA GUDUME UMEACHA ATHARI KUBWA SANA. WANAWAKE ALIOWATAJA BADO WANAWEWESEKA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana - JamiiForums

Wamejaribu kuunda hata Ushirika wa kutiana Moyo. Mbona Bro alisema wapo wachache wenye akili. Kwa nini wengi wamekasirika. Coalition of the single mothers and unmarried women.[emoji23][emoji23][emoji23]

Then yeye kaendelea na maisha yake. Wengi wanakuja kujisafisha.sikutegemea ule uzi utawagusa watu hivi. Mimi nmekuwa nikilalamika humu wanawake wengi hawana akili,makahaba, wanajiuza nikasemwa mimi mgeni sijui nini.amesema mtu mzoefu nmeona moto wake.

Wanawake wenye akili wamo humu wa kuhesabu sana. Na wanaume pia wenye akili wapo. Mimi sometime yes sometime no.[emoji23][emoji23][emoji23] Nahitaji povu nikafulie.

Unahangaika sana
Hope umeshapata bwana

Sisi pm zimejaa
 
Sidhan kam itawezekan ila mkuu mimi kuna vitu najiuliza umu sipati majibu

Izi chuki baadhi ya watu umu ndani na ilhal hawajuan zimetoka wapi?

mbona mimi ata mtu anitukanie mama angu umu ndan ila siwez kuwa na chuki nae ata iweje yaan sijui afany kitu gan ila najua hakipo

Sent using Jamii Forums mobile app

Wengine hufuata mkumbo tu.

That’s the only explanation I can give.
 
hivi kama.wanauza ww unateseka na nn??yaan mfano mm nimuuzie mtu humu ww huko na utajiri wako.unatesekea nn?au mapumbu yako yananywea?au mkundule wako unatanuka? hebu waache watu waishi waoendavyo ww ni nan ht uwasemee..wanwake malaya wanaachaga umalaya automatic wenyew...iwe kwa kumpaya mr RIGHT au kwa kutendwa vibaya..hebu vibane vipumbu vyako vilivyosinyaa hvyo km una ukoma basi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkunduleeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri kutiana moyo. Ila mwanaume anayeenda oa single mother ajipime.wenzie walishindwa nini?

Sijatai wapo single mothers watulivu katika 10-1 wengi walishindikana mwanaume mtia mimba akaamua kurara mbere.😂😂😂

Ila ni vizuri kutiana moyo. Maana wasikate tamaa kabisa.

Juzi hapa nimehudhuria harusi ya single mother kaolewa, wengine wengi wana mabwana zao maisha yanaenda. Ukisikiliza maneno ya watu wa humu jf unaweza ukakata tamaa na kujinyonga. Maisha ni jinsi wewe mwenyewe unavyotaka yawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi hapa nimehudhuria harusi ya single mother kaolewa, wengine wengi wana mabwana zao maisha yanaenda. Ukisikiliza maneno ya watu wa humu jf unaweza ukakata tamaa na kujinyonga. Maisha ni jinsi wewe mwenyewe unavyotaka yawe

Sent using Jamii Forums mobile app
mie mwenyew ikatokea nikatengana na hubby naamini nitaolewaga tu yaan tena fastaa ila itabidi nitake tym kwanza maana mahari hom.wanaweza kataa😊😊..tunaoleka tu mamaeee zaoo
 
Nimemzodoa nani!may be labda unambie?[emoji1][emoji28][emoji28]!!!!nani nimemzodoa nambie

Kama hatujakwaruzana hayo yote yanakujaje unavosema sijui niishie hapa sijui pale nna machafu yangu wapii!!!!!

Sio Mara ya kwanza kunikoti kishari mwanzo nilikua naona normal but I think u have extra things with me!

Nambie kama una fundo kaka...maana dunia duara yaweza kua nimekukwazaa...washindwa sema wabaki kunisonta..

Hakuna mdada nimegombana nae humu!chit chat au MMU

Sent using Jamii Forums mobile app
ondoa shaka kuna post mpya nimesema kidogo...utanielewa lkn hebu tulia tu na uwe na amani huku ukitafakari kila hatua, ipo siku nitakutembelea pm, tutaongea, tutaelewana na huenda tutacheka pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi kama.wanauza ww unateseka na nn??yaan mfano mm nimuuzie mtu humu ww huko na utajiri wako.unatesekea nn?au mapumbu yako yananywea?au mkundule wako unatanuka? hebu waache watu waishi waoendavyo ww ni nan ht uwasemee..wanwake malaya wanaachaga umalaya automatic wenyew...iwe kwa kumpaya mr RIGHT au kwa kutendwa vibaya..hebu vibane vipumbu vyako vilivyosinyaa hvyo km una ukoma basi!

Ng’wanike one....kwa kutumia mantiki hiyo hiyo wengine watahoji kuwa, wale mashoga nao rectum huwa ni za kwao, sawa?

Sasa zikiingiliwa kwa raha zao wengine inawahusi nini?

I’m just sayin hahahahaa

Life is a labyrinth of contradictions!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom