Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Demi sikatai. Mfano unavyoandika wewe kama hivi hata ungekuwa single mother ungeolewa. Wapo watulivu wachache mbona sijakataa.

Ila asilimia kubwa angalia hata wanayoandika humu itagundua kwa nini waliachwa. Wewe unaandika kwa akili na utulivu mwanaume akisoma tu anaona huyu ni mwanamke mwenye akili. Wale manungayembe utaona matusi yao.

ww ukute hata mzaz wako wakike ni nungayembe tu...umezidi sana kujiashuaga humu jf mxiew
 
Ilifika kipindi Nyani Ngabu kamtongoza Dada yetu humu JF, Dada yetu kamwelewa Nyani akalala nae akapewa na bumunda all night then jamaa akaja kutangaza kwa rafiki zake yule "Y" aliempa utamu ananuka mdomo balaa. This is selfish and demonic behavior kwa mtoto wa kiume anae waheshimu wanawake kama mama zake au Dada zake pia.

This is childish and not man enough. Nilimdharau sana huyu Nyani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demi sikatai. Mfano unavyoandika wewe kama hivi hata ungekuwa single mother ungeolewa. Wapo watulivu wachache mbona sijakataa.

Ila asilimia kubwa angalia hata wanayoandika humu itagundua kwa nini waliachwa. Wewe unaandika kwa akili na utulivu mwanaume akisoma tu anaona huyu ni mwanamke mwenye akili. Wale manungayembe utaona matusi yao.
Kwani mwanamke kuachwa ni Dhambi?
Wanawake walio achika wanatukanwa sana Africa.
Sijui tatizo ni mfumo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yako sio Shetani!

Wewe sio Kitobo,wala sio utoko!

Ignore the rest.

Its high time wanawake tujifunze humu.Somo mara moja,mara mbili mtu hukomi yakikukuta ulie na wa kwenu.

Naungana na Fake P wanawake humu acheni kushobokea Wanaume wa humu,msitake wawajue undani wenu kabisa labda uwe na moyo mpana na mgumu sana.Kujifunza mwisho mara 2 mara tatu Ujinga wako.Kuwa mwema sana kama unafanya sensa ya wanaume vitawacost.Ukishikwa nyege rukia hata kondakta mbake.Kuna majitu humu sio.Wema wetu na Nyege zetu ndo zinatutukanisha.

Lets Grow Up.Kuwa intrigued sana na mada sijui za umalaya usingle maza naona kama ni utoto sana.
Sipati picha kama Rebecca ungekuwa unajulikana wuchi wako humu.Tungejua mpaka vuzi lako leo.Hongera sana kwa kujitunza kwa upana huo..Big up!

Single mazas na madouble maza Much love kwenu.
Bila kuwasahau wanawake wa mikoni.Tukalime sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Happy new year love

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tabia ya baadhi ya wanaume humu akimtongoza mwanamke akimkataa atakujana thread kama zote hivi utachambuliwa kila dimension atakuja na stori kama za shigongo... labda tu niweke wazi huwezi kumchukia kila mtu kuna sababu itakuapo ya kumchukia ... siku zote hakuna somo gumu kama la kumsoma mtu kumjua tabia yake.. yeyote anaweza pretend kwa kulenga kitu flani akitimiza ndipo utajua black or yellow
Umesema nilichokuwa nataka kusema, asilimia kubwa ya watu wanaojifanya kuwananga wanawake hum ni wale waliokula za uso huko pm wanakuja kupunguza machungu hapa waseme suu niweke screenshots mxiiiuuuu [emoji23][emoji23] imejipost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa km.mm nimeamua kuuza ww unasumbukia nn na hunijui kaka?si ujali yako kaka...eish..ht hao magasho wanajiuza kwa kero na raha zao bwana wee...!yaan msidhan km single maza wanapenda hawapendi achen kuwabughudhi kbs

Ng’wanike one...mimi sina kabisa tatizo na parental status au marital status ya mtu.

Content of a person’s character is not defined by whether he/ she is a single parent.

Single mothers ni binadamu tu kama walivyo gays, lesbians, hermaphrodites, etc.

I have a ton of respect to all the single parents who provide for their kids.
 
Nikwel mkuu,bas nenda masak tuu,viwanja viko vingi haile selasie road ile,unachagua tuu,element.samak samak,bucket,wewe tuu sehem,zingne labda uende samak samak mliman,kunakuaga kumejaa..sehem zingne za kistaarab sana,kwingne labda viwanja vya sinza,ambavyo viko avarage,hakuna madem loose ,hua kuna couples tu,ila vile vya masak,loose fly kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
That's my niqqa over here. Nimekuelewa sana buddy. I'm going in. Ngoja nikakeshe kule until six in the morning.

We were not born to pay bills and die.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks!!!tayari kwa Mara ya kwanza nimemueka ignore...halafu namjua na namheshimu sana ana yake huyuu!!![emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Huna sababu ya kuprove chochote kwa yeyote humu

Ukiitwa ambacho sicho ulivyo ignore move on

Wengine hufanya hivyo kumprovoke tu mtu.
Why giving them chance to hurt you?
 
Mama yako sio Shetani!

Wewe sio Kitobo,wala sio utoko!

Ignore the rest.

Its high time wanawake tujifunze humu.Somo mara moja,mara mbili mtu hukomi yakikukuta ulie na wa kwenu.

Naungana na Fake P wanawake humu acheni kushobokea Wanaume wa humu,msitake wawajue undani wenu kabisa labda uwe na moyo mpana na mgumu sana.Kujifunza mwisho mara 2 mara tatu Ujinga wako.Kuwa mwema sana kama unafanya sensa ya wanaume vitawacost.Ukishikwa nyege rukia hata kondakta mbake.Kuna majitu humu sio.Wema wetu na Nyege zetu ndo zinatutukanisha.

Lets Grow Up.Kuwa intrigued sana na mada sijui za umalaya usingle maza naona kama ni utoto sana.
Sipati picha kama Rebecca ungekuwa unajulikana wuchi wako humu.Tungejua mpaka vuzi lako leo.Hongera sana kwa kujitunza kwa upana huo..Big up!

Single mazas na madouble maza Much love kwenu.
Bila kuwasahau wanawake wa mikoni.Tukalime sasa!

Sent using Jamii Forums mobile
app

Umeeleweka dada mkubwa...thanks.
 
Hivi humu si ndo kila mtu ana gari
Kila mtu ana nyumba
Kila mtu ana kazi
Kila mtu ana maisha safi
Kila mtu ana mwanamke mkali?

Hahahhahaaaaaa maisha ya mitandaoni
Huko mtaani unakuta kalelewa na the so called single mother,
Huko mtaani unakuta ana date the so called single mother [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka kifwala sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ng’wanike one...mimi sina kabisa tatizo na parental status au marital status ya mtu.

Content of a person’s character is not defined by whether he/ she is a single parent.

Single mothers ni binadamu tu kama walivyo gays, lesbians, hermaphrodites, etc.

I have a ton of respect to all the single parents who provide for their kids.

Thankyou Jombaa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom