Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,870
Mwenyewe kuna siku kuna mtu alinitibua. Nilishikwa hasira kama zote. Akaja pm dada yaishe nikasema poa. Wakati mwingine huwa wanatupima uvumilivu wetu ni kiasi gani mtu akikukoseamimi asbh kuna mtu humu kanitibuaa..nikang'ata kbs mdomo nikasema leo nalala naye mbele...bahati nzuri akaja pm akanituliza..eti ananiambia nimekimbia id..nyoko zake nikasema muulize melo wako km nimekimbia id..nikimbie kwakipi hasa..aifungue ht usk huu narudi km kawa nadamshi bibi wee.....watu wanakera sana ila mm nikishaona ww umeme kichwan haufiki vzr nakuignore kbs....
Sent using Jamii Forums mobile app