The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
AmeniiiiiiiiiNjoo tu uku ng'ende mtwara , mbuzi hatuna ila una Sungura pori.
Watu wa huku hatutumii kilevi wala kivutaji. So ukija ukavikosa usilalamike.
Hata ivo, 2019 ikapate kua yenye Neema kwako, kubwa kubwa na ndogondogo. Kaxi za mikono yako zibarikiwe na ukapate kua Bora miongon mwa walio bora. Kama ni boss basi uwe Libosiiiiiii , Zaidi uwe na afya njema bila kusahau Kurudisha shukran zako kwa Muumba alokupa pumzi yabure usoilipia !!!.
Ngende siji kwa wenyewe huko
Isitoshe mie mdau wa savanna plains of Africa na mbuzi katoliki sitapaweza .
Ila punguzen kutukandia mama zenu na Dada zenu mjue tunaumia ,wengine hatusemi tu
Sometimes mabandiko yenu jf yanachoma sana,basi tuna hatuna jinsi .
Sent using Jamii Forums mobile app