Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,091
eeeh, mbona hatari...Hapo namuuliza Kasie kuwa alimfanya nini huyu mwanzisha mada!! Kasie anasema hajui.
View attachment 982042
Hapo namuuliza Kasie kuwa alimfanya nini huyu mwanzisha mada!! Kasie anasema hajui.
View attachment 982042
Aiseehh!kazi ipo...!!nimechoka Mimi!sitaki kua muongo!!!!!Msamehe basi NN yaishe yanatosha please!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha sio magumu hivyo...Yaani kwanza siwezi sitaki mazoea na jinsia ya kiume humu ndani.
Wewe ndo mwenye akili ya kitoto.
Nikushitaki ili iweje?
Nimwuliza kama keshawahi kuona unavyo abuse wenzio akasema hajawahi.
Nikamwambia asubiri nitamwonyesha ili asije kudai nazusha tu.
Una abuse wanawake wenzio.
Fact 💯%.
Nyani msamehe kwa hilo maisha yaendelee!!!!Isije onekana kasie amekutuma umtukane Rebecca hapaUmechoka na nini sasa? Kuwa mahsusi....
Aache tu unafiki. Ajiangalie. Yeye mwenyewe ajirekebishe kabla hajaanza kusema wengine wenye tabia kama hizo hizo alizonazo yeye.
NSYNC - This I promise you
Da Rebecca nakupenda niwie radhi kama ntakukwaza ila ulikosea!!!unless labda kama mna ishu zingine!!ambazo Mimi na wengine hatuzijui!!
Nakuheshimu na kukupenda pia!!Nyani msamehe kwa hilo maisha yaendelee!!!!Isije onekana kasie amekutuma umtukane Rebecca hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena mamaKiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...
Tuwasamehe tu
wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…
Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…
Especially wakiwa wadogo,
wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc
hii trauma inabaki kwenye ubongo,
ambayo ina result into hatred towards women,
Utawajua tu humu,
tabia ni ngumu kuficha,
Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..
he is probably twisted!
Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
Aiseehh!kazi ipo...!!nimechoka Mimi!sitaki kua muongo!!!!!Msamehe basi NN yaishe yanatosha please!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikukaribishi wala nini we si umeninyima mwanao[emoji23][emoji23][emoji23]huo wimbo naupenda jaman...dah...uwe sehem tulivu[emoji857][emoji857]unashusha na wine[emoji119]
Imebidi nikachungulie kazi ipo kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaa dah aya bhana leo hatari tupu unaweza pigwa na mwiko....
Asante sana...
Sent using Jamii Forums mobile app