Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

Complex ile ajali na mkewe .

Steve 2k alipigwa kisu kama sijakosea kwa kuvamiwa
Mangwea huyu ganda zilimzidi.
Langa kileo huyu nae ganda ilichangia.

Mez B aliumwa kitu kama hicho.

YP .

Sam wa ukweli naye pia aliumwa .

Jebby mzee wa dunia haina siri.

Yote tisa sharomillionea mtu wa kazi ajali pale Muheza maguzoni.
 
Ni Steve 2K
Steve 2K katoka Tanga mara ya kwanza mimi ndiye nilimpeleka Studio Dar.

Nikawaunganisha kwenye promotion Radio One. Amina Chifupa akawazimia sana na mwenzake Eddie. Wakatoka.

Jamaa ni comedian muda wote ukiwa naye, unaweza kuwa serious yeye anakupa kituko unacheka mwenyewe.

Aliondoka mapema sana kwa kifo cha kinyama.
 
Back
Top Bottom