Song of Lawino
Trial of Brother Jero
Things Fall Apart
Three Suitors One Husband
Is it Possible?
Masimulizi ya Alfu Lela Ulela
Kuli
na hivi mnavikumbuka?
Safari ya Bulicheka
Someni Bila Shida
Mimi niliwahi kuagiza vitabu vya Alfu Leila U Leila na vile vya Bwana Msa, kutoka kampuni za uchapishaji Nairobi Kenya.Nilikwenda pale TPH hawana hata nakala ya vitabu vyao vya zamani na wala hawajui vinapatikana wapi, Library nako hakuna kitu, sijui wasomaji walipungua au vitabu viliisha kwenye ma-shelf na hawakurudishia.
TPH pale Samora Av. wabebakia kama duka linalouza vitabu vya watu wengine, sina hakika kama viongozi wa ile taasisi waliopo sasa hivi ana vision juu ya future ya TPH.
Mkuu katika watunzi ambao walikuwa sipendi kusoma vitabu vyao basi huo niliye mkoza hapo juu, alikuwa mmoja wapo... Sababu alikuwa ananakilii neno kwa neno kutoka kwenye vitabu vingine vya kiingereza.Kuna waandishi mmewasahau kama
1 Faraji Hussein Hassan Katalambula- Buriani, Simu ya kifo
2. John M.S Simbambwene- Je kweli unanipenda?, Kivumbi uwanjani, Asha, n,k
3. Hemedi Kimwanga- Lazima Afe, Mnuko wa damu, Kazikwa yu hai, nani kaua,
4. Kajubi D. Mukajanga-Mpenzi, tuanze lini. n.k
5. Elvis Musiba-Kufa na kupona, Kikosi cha kisasi, hofu, njama
Mkuu katika watunzi ambao walikuwa sipendi kusoma vitabu vyao basi huo niliye mkoza hapo juu, alikuwa mmoja wapo... Sababu alikuwa ananakilii neno kwa neno kutoka kwenye vitabu vingine vya kiingereza.
Mimi niliwahi kuagiza vitabu vya Alfu Leila U Leila na vile vya Bwana Msa, kutoka kampuni za uchapishaji Nairobi Kenya.
Labda mnaweza kujaribu uko.
duh.. kweli ndio mtu unajiona mzee hivi hivi!
Siku hazigandi,
Vitabu vyote hivyo vinavyotajwa hapo ninavyo huko nyumbani ila sijui kama bado viko salama. Ni pamoja na vitabu vya James Hadley Chase, Nick Carter, Denise Robins, Agatha Christie ma vinginevyo vingi vya riwaya za kiswahili na kiingereza......
....Zaidi ya david Mailu, hapo afrika ya mashariki kulikuwa na mwandishi mwingine kutoka uganda ambaye naye alikuwa akiandika vitabu erotic sana. Character wake mmoja alikuwa akiitwa Matama; kwa bahati mbaya sasa hivi sikumbuki jina la mwandishi huyo tena.
Riwaya ya KULI Shafi Adam Shafi
shida mtunzi ndyanao balisidya
......... Mbona vya Eric mie vinanishinda !? :smile-big:
Hivi hawa watoto wa siku hizi wanasoma vitabu gani?
duh.. kweli ndio mtu unajiona mzee hivi hivi!
Wadau, siku hizi moyo wa kusoma vitabu vya aina zote-vya Taaluma na Riwaya umepungua sana na imepelekea Watunzi wa Riwaya kutoandika tena vitabu. Leo nawakumbuka baadhi ya Waandishi/ Watunzi wa Riwaya wa Tanzania.
Hamie Rajab
1. Miujiza ya Mlima Kolelo
2. Dunia Hadaa
S.M.Bawji
1. Usiku wa Blaa
2. Kisiwa cha Mayuku
Penina alikuwa mmoja wa waandishi wa kweli miaka ile ya sabini na mwanzo wa themanini. Pia aliandika vitabu vifuatavyo (ingawa aliegemea zaidi katika michezo ya kuigiza):
1. Hatia
2. Tambueni haki zetu
3. Pambo
4. Lina Ubani
5. Wizara ya Mitumba
6. Nguzo Mama
Waandishi wengine kipindi hicho ninaowakumbuka:
Ngalimecha Ngahyoma
1. Kijiji Chetu
Gabriel Ruhumbika
1. Parapanda
2. Uwike usiwike kutakucha
Seith Chachage
1. Sudi ya Yohana
2. Almasi za Bandia
3. Kivuli
Kamlete akibisha mlipue
Fedha zako zinanuka-Ben Mtobwa