Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,267
- 13,573
Naomba soft copy ya hiki kitabushida mtunzi ndyanao balisidya
Naomba soft copy ya hiki kitabushida mtunzi ndyanao balisidya
Weka mbali na watoto.... KIJASHO CHEMBAMBA ! ................... Eddi Ganzel
Kufa na Kupona
Kikosi Cha Kazi
Njama
vyote Elvis Musiba.
NinachoMwana jamvi hicho ni "Kisima cha ginigi" nakirafuta sana nijikumbushe nilikisoma 90-91....sijui nitakipata wapi?