- Thread starter
- #21
H
Trekta moja sh 20 millions sasa kwa kijana yupi ambaye ametoka shule ataweza kununua? Au unataka walime na jembe la mkonoKwani wamekwambia wanashindwa kulima sababu matrecta hakuna
Inavyoonyesha tu wewe si mkulima ma tracta hayajawahi kua kikwazo kwa vijana kujikita kwenye kilimo
Tatizo lipo kwenye masoko ya hizo bidhaa za kilimo.
Sent using Jamii Forums mobile app