Tuuze tembo halafu tununue matrekta

H
Kwani wamekwambia wanashindwa kulima sababu matrecta hakuna

Inavyoonyesha tu wewe si mkulima ma tracta hayajawahi kua kikwazo kwa vijana kujikita kwenye kilimo

Tatizo lipo kwenye masoko ya hizo bidhaa za kilimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Trekta moja sh 20 millions sasa kwa kijana yupi ambaye ametoka shule ataweza kununua? Au unataka walime na jembe la mkono
 
H

Trekta moja sh 20 millions sasa kwa kijana yupi ambaye ametoka shule ataweza kununua? Au unataka walime na jembe la mkono
Mkuu fanya utafiti tracta halijawahi kua kikwazo kwa vijana kujikita kwenye kilimo

BTW hivi unaijua SAGCOT ,SAGCOT kupitia benk ya kilimo wana billions of money kwa ajili ya kukopesha wakulima hususan vijana ila ndio hvo wakopaji hakuna so kama kuna vijana wanakwama sababu ya trecta watembelee hizo office za SAGCOT kupata mwongozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyumbu atakua na thamani ndogo sana
sema ile stock ya meno ya tembo
kwenye ghara la kuifadhia meno ya tembo yaliyokamatwa kutoka kwa majangiri na tembo wazee wa waliokufa pekeyao
iuzwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu 20=trekta 1au nyati 5 =trekta 1.

Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?
Tembo mmoja thamani ni zaidi ya trekta elfu moja za horsepower mia mia za kichina.
Labda mkitaka swala mmoja kwa trekta 10 za horsepower 100 kila trekta.
 
Barabara zinapita mbugani ukigomgonga tembo unalipa $20000 sawa na million 45,kwahiyo tembo mmoja trekta mbili,na kuleta trekta hakuna kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu fanya utafiti tracta halijawahi kua kikwazo kwa vijana kujikita kwenye kilimo

BTW hivi unaijua SAGCOT ,SAGCOT kupitia benk ya kilimo wana billions of money kwa ajili ya kukopesha wakulima hususan vijana ila ndio hvo wakopaji hakuna so kama kuna vijana wanakwama sababu ya trecta watembelee hizo office za SAGCOT kupata mwongozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio info ninazozutafuta
 
Back
Top Bottom