Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

Sawa mkuu,wanatoa cha kupresent au unachagua wewe? Aisee inatakiwa uwe vizuri sana
Itategekea na chuo ila vyuo vingi mnapiga paper ya written ambayo ni research na field yako. Inakusanywa.
Baada ya hapo mnaingia mnapewa kuandae presentation ya kama nusu saa hivi kama unaandaa kipindi halafu zinakusanyea pia. Baada ya hapo mnaitwa kupresent mlichoandaa na maswali yanatoka humo humo kwenye presentation yako.
Kama unaijua field yako ni kitu kinawesekana kupenya.
Salary 1.7mil
 
Anaongea kitu hajui
 
Kupata izo nafasi hata za kuitwa kwenye usahili aseee uwe na connection kali mnoo. Kuipata kazi hiyo ni mbinde. Mnaenda kwenye usahili ila kuna mtu ameshaandaliwa.
Si vyuo vyote muhimu uijue field yako vizuri kazi unapata.
Hamna mtu anataka kuajiri mtu ambaye sio competent hasa ukizingatia wasaili ni wanàtaaluma ambao watahitaji msaada wake kazini.
 
Khaaaah kumbe? Mbna sikua najua hili, bas watu wana kazi mweeeh.
 
Kheeeeeh km ndo hivyo sitoboi, maana mmmh.
Nna damu ya kunguni shem. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasikutishe kabisa, ukiwa vizuri kwenye presentation hawawezi kukuacha, oral ni maswali yakawaida sana yanahusu fani yako, watakupiga maswali ya kutosha kwenye eneo hilo. Kumbuka kuna panel na kila mmoja anascore. Mwisho zinajumlishwa na waliofaulu wanajulikana. Kama kuna manjogi labda huyo ndugu yake aombe maswali kwa panel members wengine na sio wote wanakubali huo ujinga. Kuna dogo tulimuinterview chuo fulani, alikuwa kasoma nje, vyeti vyote kiarabu, alikula maswali mpaka ambayo si fani yake, ilipofika presentation alifanya maajabu. Sasa ana PhD yake na yuko only 30 years.
 
Sijabisha au unataka kielelezo.

Nitakupatia.
Unawezaje kunipa kielelezo kwa kitu nilichokifanya binafsi, kwa nini usikubali kupata maarifa mapya? hapa hatufanyi mashindano, tunashare experience zetu tu, endelea kubaki na vielelezo vyako
 
Ooooohhhhpppsss unanipa nguvu sasa.
 
Ewalaaa!
 
Simple easy [emoji2] damn confidence tu.

If you know some of pedagogy skills, u kill it.
 
Unawezaje kunipa kielelezo kwa kitu nilichokifanya binafsi, kwa nini usikubali kupata maarifa mapya? hapa hatufanyi mashindano, tunashare experience zetu tu, endelea kubaki na vielelezo vyako
Huh, ina maana hizo vitu hazina kazi. Haina haja ya kuwekwa. We umekomalia experience.
Wakati TCU ndio wanaset standard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…