Tutazunguka sana, ila ukweli umefichwa hapa

Tutazunguka sana, ila ukweli umefichwa hapa

Siri ni kujituma, kuepuka dhulma, kufanya yaliyo halali, kuwekeza na kulinda ulichonacho

Mengineyo ni kuachana nayo tu
Sasa mbona watu wa namna hiyo ndiyo walalahoi? Wengi niwajuao ni walalahoi. Kauli yako ina ukweli wa 20%. Wengi wanaojituma kwa kufanya kazi kwa bidii ndiyo masikini.
 
Mkuu subiri watoto wa shemeji/dada yako wamalize kuangalia TV waende kulala utandike godoro chini hapo sebuleni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] asubiri waangalie huba na kitimtim
 
Sasa mbona watu wa namna hiyo ndiyo walalahoi? Wengi niwajuao ni walalahoi. Kauli yako ina ukweli wa 20%. Wengi wanaojituma kwa kufanya kazi kwa bidii ndiyo masikini.
Acha tunayoijua siri tuitumie. Kila nikijiangalia sometimes hua Nashangaa pesa napata wapi,dili hizo hizo ila Nashangaa Nina millioni nimepewa. Ukiijua siri pesa zinakutembelea tu.
 
Acha tunayoijua siri tuitumie. Kila nikijiangalia sometimes hua Nashangaa pesa napata wapi,dili hizo hizo ila Nashangaa Nina millioni nimepewa. Ukiijua siri pesa zinakutembelea tu.
Na ndicho nilicholenga. Kauli za 'jitume' hazina ukweli kwa hata 30%. Angalia wanaojituma wengi na ufananishe maisha yao. Shida tupu na dhiki!
 
Mtu alie gifted na mtu asie hifted kwa nini wasitofautiane. Kwa nini wazungu wawe matajiri zaidi ina maana wao ndio wanaijua siri zaidi. Kwa nini mambo yanabadirika
Utajiri wa zamani si utajiri wa leo hio siri haifanyi kazi muda wote ?
Sasa hivi kuna tekn kama chanzo kikuuu cha utajiri, hio siri inahusikaje hapo?
Mtu mwenye akili nyingi ndio anagundua tekn anakuwa tajiri na mwenye ndogo hana uwezo wa kugundua jambo.
Je hio siri ina bias?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom