Shida huwa mna andika jwa husia Sana, ila utajiri ni kuwa na vyanzo vya mapato imara
👉Yajue mahitaji ya jamii, kusha tengeneza mfumo unufaike.
👉Know how to delegate (kasome ujue ni nini kibiashara)
👉Tz cheap labour wame jaa mzee
01- muuza maji ya kikombe 100, trust me mkuu, huyu Jamaa nili mkuta ana uza maji ya bomba shilingi 100 pale stendi.
👉Tena ana madumu Kama 20, halafu yote Yana Isha mzee.
02, muuza vitumbua, huyu hachomi Wala kukaanga hivyo vitumbua.
👉Ana vijana kama wa5, ambao hufanya kazi hiyo, na Kwenda kuzungusha mtaani.
👉Tufanye Kijana mmoja amletee faida ya 5k, kwa watano SI laki 7 na ushee mzee😀.
03- myyza ice cream za 100, ndio wale majamaa wanao zunguka na madeli kwa kutumia baiskeli.
👉Jua Kuna mtu kausoma mchezo, na kuamua kutumia Fursa.