Tutazunguka sana, ila ukweli umefichwa hapa

Tutazunguka sana, ila ukweli umefichwa hapa

Sio kwa wizi na rushwa sasa. Inatakiwa iwe hivyo ila kwa kuheshimu sheria na kanuni. Tatizo Tanzania ni rushwa na upindishaji wa sheria plus kubaka mamlaka.

Tupige pesa ila tuwe productive sio tunapiga hela kwa kudhurumu masikini na mayatima mahitaji yao ya msingi kama maji, huduma za afya, chakula, miundo mbinu huo ni ufala kama ufala mwingine.

Hivi mfano tungekuwa na project za kimaendeleo halafu serikali inasimamia tu mifumo wadhani tungefeli kama hivi?

Huu ni ufala.
 
Mkuu maneno yako nayawekea lamination. Hasa hapo pa kudhulumu pesa za masikini, yatima nk. Wengi hawajali hayo kabisa.

Hakika tuzingatie sheria hasa za haki za tabaka la chini.

Mkuu, hoja yako ni sahihi na haina mawaa kabisa.[emoji109]
 
Utajiri huwezi kuupata ukiwa unaishi katika kanuni za kimasikini

Unapata 600k unahonda 10k unakula bia plus ngono za hapa na pale. Na unfortunately watu wengi wanaofanya Kazi ngumu na za jasho fatilia Pesa huwa inatumikaje since then ?
 
Wengi wanaofanya kazi za jasho ni masikini
 
Siri ni kuwa BAHILI sana
Earn more spend less
Live below ur means
Tithing for needs
G O D or D E V I L power

Invest
Information.
 
Mafanikio siri yake namba moja ni Kuyatafuta Kwa Udi na Uvumba Kama Mtu Aliyekabwa anavyopigania Kupata Pumzi 😂... Nakuhakikishia Baada ya Mda si Mrefu Utayapata tu.
 
Mi cdanganywi nimekaa na hii jamii ni miaka 20 sasa nimejifunza mengi sana kwa hawa watu. Sisi tuendeleze umbea na kulogana tu hatuwez kuwafikia
Sasa utajuaje wakati ni siri yake? Au uliambiwa siri anaijua kila mtu?
 
30%, average!
Hapo sijagusia Means Nimeanzia na kwanza na kitu kinaitwa Strong Desire Ukiwa nayo hiyo itakupeleka Sehemu inayofata Ambayo ndio Means Yenyewe Sasa Haijalishi Legal or Illegal Maana kwa Mujibu wa Post yako wewe Mafanikio Hayaji kwa Njia ya Kawaida ambayo kila mtu anaijua ama Ameaminishwa bali kwa Njia Zingine ambazo ni kama Secret Code.
 
Sasa mbona watu wa namna hiyo ndiyo walalahoi? Wengi niwajuao ni walalahoi. Kauli yako ina ukweli wa 20%. Wengi wanaojituma kwa kufanya kazi kwa bidii ndiyo masikini.
Hii dunia ina siri nzito sana. Watu hufikiri kujituma sana ndiyo mafanikio.
Inasaidia kuwa na mafanikio lkn kuwa tajiri kuna siri nzito nyuma ya pazia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom