Tutazunguka sana, ila ukweli umefichwa hapa

Sijui nisalimie vipi! Anyway niende madani.

Tutazunguka sana, sana, sana, sana, sana! Ila huwezi kujenga ghorofa kwa kutegemea kuuza karanga kwa faida ya 500 kwa siku. Huwezi, huwezi, huwezi. Kuna siri!

Kwanza kabisa jua kuwa ni nani mmiliki wa mali na utajiri vya dunia hii? Ni watu wachache.
Na si hivyo tu, vizuri karibu vyote vipo miongoni mwa wachache.

Ukweli mchungu ni kuwa, malalamiko ya raia kuwa maisha ni magumu yapo toka enzi na enzi na hayatokwisha. Kila siku watu wanalalamika maisha ni magumu, hakuna siku wakasema ni rahisi.

Baada ya tafakari nzito nimebaini kuwa, huwezi kuubadilisha mfumo. Huwezi kuutikisa mbuyu, utaishia kutikisa makalio yako.

Wachache wajanja ndiyo wanaofaidi maisha popote, siku zote. Masikini hawatokuja kwisha, ugumu wa maisha na malalamiko hayatokuja kwisha.

Usiwe miongoni mwa wengi, pambana uwe mmoja wa wachache niliowataja hapo juu. Mfumo ndiyo unataka hivyo.

Dawa na mzizi wa kuua yote ni kuwa mmoja wao, yaani miongoni mwa wachache wanaofaidi raha. Mfumo ndiyo upo hivyo tangu enzi za Yesu.

Cha kwanza kabla hujaanza mapambano yoyote maishani, pambana KWANZA uijue siri ya ULIMWENGU.

Lazima uifahamu siri ili usiwe mtumwa TENA, na uujue na kuuishi uhalisia uliokuwa huufahamu kwa miaka mingi.

Usipambane kuuza mkaa wala karanga wala chochote kile ili uwe tajiri, pambana UIJUE SIRI kwanza.

Ukitaka karanga zikupe ghorofa basi usikazane kuuza karanga, pambana UIJUE SIRI.

NB: Na ukiijua kaa kimya, usiropoke.

Haya, wa kung'amua ang'amue!.
Mmi ndo niwape siri naona mwamba anazunguka sana siri ni KUFANYA MAMBO HARAMU
 
Asante kwa kuujua ukwel na iwo ndo ukwel
Duniani kuna vichwa na mikia na kunawashindi na washindwa kuna matajiri na maskini na iyo ndo nature ya maisha na ndo maana kla sku nawapinga ma motivation speaker wa humu jf

Mbinu ulizotumia ww kufanikiwa mara nying uwezi mpa mwingne na yeye akafanikiwa kla mtu na njia yake ya mafanikio lakin pia sio kla mtu kaumbwa kufanikiwa au kua tajir

Ata Mungu akufanya watu wote mitume na manabii ila alichagua wachache na uwo ndo utaratibu ata katka maisha ya kla sku
 
Wewe umemaliza. Motivational speakers ni takataka tupu
 
Sijui nisalimie vipi! Anyway niende madani.

Tutazunguka sana, sana, sana, sana, sana! Ila huwezi kujenga ghorofa kwa kutegemea kuuza karanga kwa faida ya 500 kwa siku. Huwezi, huwezi, huwezi. Kuna siri!

Kwanza kabisa jua kuwa ni nani mmiliki wa mali na utajiri vya dunia hii? Ni watu wachache.
Na si hivyo tu, vizuri karibu vyote vipo miongoni mwa wachache.

Ukweli mchungu ni kuwa, malalamiko ya raia kuwa maisha ni magumu yapo toka enzi na enzi na hayatokwisha. Kila siku watu wanalalamika maisha ni magumu, hakuna siku wakasema ni rahisi.

Baada ya tafakari nzito nimebaini kuwa, huwezi kuubadilisha mfumo. Huwezi kuutikisa mbuyu, utaishia kutikisa makalio yako.

Wachache wajanja ndiyo wanaofaidi maisha popote, siku zote. Masikini hawatokuja kwisha, ugumu wa maisha na malalamiko hayatokuja kwisha.

Usiwe miongoni mwa wengi, pambana uwe mmoja wa wachache niliowataja hapo juu. Mfumo ndiyo unataka hivyo.

Dawa na mzizi wa kuua yote ni kuwa mmoja wao, yaani miongoni mwa wachache wanaofaidi raha. Mfumo ndiyo upo hivyo tangu enzi za Yesu.

Cha kwanza kabla hujaanza mapambano yoyote maishani, pambana KWANZA uijue siri ya ULIMWENGU.

Lazima uifahamu siri ili usiwe mtumwa TENA, na uujue na kuuishi uhalisia uliokuwa huufahamu kwa miaka mingi.

Usipambane kuuza mkaa wala karanga wala chochote kile ili uwe tajiri, pambana UIJUE SIRI kwanza.

Ukitaka karanga zikupe ghorofa basi usikazane kuuza karanga, pambana UIJUE SIRI.

NB: Na ukiijua kaa kimya, usiropoke.

Haya, wa kung'amua ang'amue!.
Mfumo CCM ndio siri ya matatizo ya watanzania.
 
Mtu alie gifted na mtu asie hifted kwa nini wasitofautiane. Kwa nini wazungu wawe matajiri zaidi ina maana wao ndio wanaijua siri zaidi. Kwa nini mambo yanabadirika
Utajiri wa zamani si utajiri wa leo hio siri haifanyi kazi muda wote ?
Sasa hivi kuna tekn kama chanzo kikuuu cha utajiri, hio siri inahusikaje hapo?
Mtu mwenye akili nyingi ndio anagundua tekn anakuwa tajiri na mwenye ndogo hana uwezo wa kugundua jambo.
Je hio siri ina bias?
Hujanielewa wewe... upo kwenye giza zito sana
 
Acha tunayoijua siri tuitumie. Kila nikijiangalia sometimes hua Nashangaa pesa napata wapi,dili hizo hizo ila Nashangaa Nina millioni nimepewa. Ukiijua siri pesa zinakutembelea tu.
Na kwenye kuijua ndipo tatizo lilipo. Wenye nguvu wanataka siri ijulikane kwa wachache TU. Mnyonge ili uijue unatakiwa utumie nguvu ya ziada hasa. Yaani uwe hatua kadhaa mbele ya binadamu wa kawaida...!
 
Sio kweli, utajiri unatokana na juhudi

Pambana, Acha kukata tamaa
 
UCHAWI NI UJINGA..JINDANGANYANE NA DANGO ZA KISHIRIKINA.PIGA KAZI MUNGU ATAKUSAIDIA.KAFARA NI UPUUZ NA UTUMWA
 
Sijui nisalimie vipi! Anyway niende madani.

Tutazunguka sana, sana, sana, sana, sana! Ila huwezi kujenga ghorofa kwa kutegemea kuuza karanga kwa faida ya 500 kwa siku. Huwezi, huwezi, huwezi. Kuna siri!

Kwanza kabisa jua kuwa ni nani mmiliki wa mali na utajiri vya dunia hii? Ni watu wachache.
Na si hivyo tu, vizuri karibu vyote vipo miongoni mwa wachache.

Ukweli mchungu ni kuwa, malalamiko ya raia kuwa maisha ni magumu yapo toka enzi na enzi na hayatokwisha. Kila siku watu wanalalamika maisha ni magumu, hakuna siku wakasema ni rahisi.

Baada ya tafakari nzito nimebaini kuwa, huwezi kuubadilisha mfumo. Huwezi kuutikisa mbuyu, utaishia kutikisa makalio yako.

Wachache wajanja ndiyo wanaofaidi maisha popote, siku zote. Masikini hawatokuja kwisha, ugumu wa maisha na malalamiko hayatokuja kwisha.

Usiwe miongoni mwa wengi, pambana uwe mmoja wa wachache niliowataja hapo juu. Mfumo ndiyo unataka hivyo.

Dawa na mzizi wa kuua yote ni kuwa mmoja wao, yaani miongoni mwa wachache wanaofaidi raha. Mfumo ndiyo upo hivyo tangu enzi za Yesu.

Cha kwanza kabla hujaanza mapambano yoyote maishani, pambana KWANZA uijue siri ya ULIMWENGU.

Lazima uifahamu siri ili usiwe mtumwa TENA, na uujue na kuuishi uhalisia uliokuwa huufahamu kwa miaka mingi.

Usipambane kuuza mkaa wala karanga wala chochote kile ili uwe tajiri, pambana UIJUE SIRI kwanza.

Ukitaka karanga zikupe ghorofa basi usikazane kuuza karanga, pambana UIJUE SIRI.

NB: Na ukiijua kaa kimya, usiropoke.

Haya, wa kung'amua ang'amue!.
Sasa ajabu unajenga Hilo gorofa alfu unaliacha unawachia mitoto mijinga
 
Upo sahihi kbsa [emoji817].
 
Time, displin responsible na kumuomba Mungu. Hakuna muujiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom