Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 599
tatizo la viongozi wetu wanapenda tu madaraka lakini bahati mbaya hawajapewa hekima ya kujua lipi ni baya na lipi ni hatari na lipi tulitatue lini na kwa mbinu ipi.hapa utashangaa kuna watu wanaomba dua machafuko yatokee ili wakamilishe dili fulani kati kati ya hizi vurugu mechi,na kwa sababu kila kitu huwa tunakiona kidogo kutokana na ufinyu wa akili zetu sasa kinatupasukia.afadhali kidogo bara lakini naamini kwa znz zikiisha siku tatu farid hajaonekana usalama wa zanzibar utakuwa katika hali tete sana kisidumu chama cha mapinduzi .