Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

Ni kweli usemayo Mzee Mwanakijiji. Ila kwa kuongeza tu ni kuwa tunaweza kushuhudia jeshi (JWTZ) likipindua nchi baada ya jeshi la polisi kushindwa kudhibiti uhalifu na kubaki kuwa ccm wing. Ni mtazamo wangu tu.
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli hali sio nzuri Othoman Rashidi kimeo,Jack zoka ndio tatizo kubwa sijuwi wanakusanya intelligence za aina gani wakati hali mbaya nachoona ni vyema baraza la usalama ya taifa likutane na limshauli Raisi hatua za kuchukua kwa kipindi hiki CDF tunakutegemea awa jamaa sio wanzuri bana.
 
Lakini bwana watu wanovyochangia hoja hawaonekani kusaidia taifa bali wanazidi kutangaza udini na kuonyesha chuki zao dhahiri. Watu wasiongelee uislam na ukristo bali waongelee maswala yanayo fanywa kinyume cha maadili kuongelea dini fulani ni mapema sana tutajuta maisha yetu yote
 
Kwa keeli dr dhaifu ni dhaifu haswaaa, eti anawaita hawa wahuni wanaharakati
 
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010,tulitaadharishwa ya kuwa KUIRUDISHA CCM MADARAKANI NI MAAFA KWA TAIFA LETU.....Ndio haya sasa!
 
Kuanzia leo onward nakuwa makini kuchangia hoja za Mzee Mwanakijiji...nimegundua ni shushushu. Ukicheza nae utanyea debe. I salute you sir!!

Inawezekana ikawa ni tetesi za mpango wa ndani.

Kama ni kweli basi sababu ya kuzuia mikutano ya M4C kama jina lako itakuwa imepatikana.

Si ajabu hawa watu wakawa na ufadhili wa dola, ndo maana radio na gazeti lao havifungwi pamoja na kueneza uchochezi kila siku.
 
jj mnyika'dhaifu'...mtatiro juzi kwny kongamano,kasema 'rais anakenua kenua'
 
Tusipoangalia vizuri tutashuhudia jambo ambalo halijawahi kutokea nchini tangu maasi ya jeshi 1964 na pengine pia tangu vita ya Kagera; kutangazwa kwa hali ya hatari (state of emergency) ili hatimaye kurudisha hali ya usalama nchini. Kutangazwa kwa hali ya hatari na rais kunatoa nafasi kwa vyombo mbalimbali kufanya kazi katika ulinzi wa sheria za juu zaidi na ambapo sheria nyingine zinaweza kuwa suspended na hata haki ya habeas corpus kusitishwa.

I hope hatutafika huko maana tukifika itakuwa ni doa kubwa zaidi la utawala wa Kikwete... maana tayari madoa yapo..

Mzee Mwanakijiji, mimi nadhani hii hali ya hatari imechelewa. Useme tu haitatangazwa kwa ajili ya kulinda heshima ya uongozi, watanzania hata wakifa wangapi hali ya hatari haitatangazwa lakini viashiria vyote vya hali ya hatari vimeshatokea.
 
Kama kuna kipindi naumia moyo sababu ya nchii yangu ni sasa!! Ninashangaa kwanini Raisi haoneshi kujali kwa hawa ndugu zetu Waislam?..Naanza kukubali kua Kikwete hakufaa kutuongoza!! Ndugu zangu watanzania wapenda amani Dunia ya sasa Dini inaongoza katika mauaji!!na huu ugonjwa uloikumba nchi yetu ni laana mbaya sana!!
 
Mkuu hii post ingewekwa na mtu mwingine nahakika ingeondolewa mapema kabisa.Unaweza kuweka maoni yako mara ghafla mods wanaiondoa na hata sababu hupewi.

nilikuwa nawaza kitu hiki hiki, post zangu nyingi zimetemwa, tena bila sababu, na tena ni post soft tu sasa sijui jf inakuwaje, mfano nilipost kuhusu maandamano ya wale watoto waliokuwa wanadai malipo shinyanga, nikasema watawala waamke kutoka usingizini, maana kila yakitokea maandamano au migomo wanawahi kusema ni uchochezi wa chama flani, huwezi kuamini lakini eti post hii ikatemwa!
 
Tatizo hapa sasa unazidi kuongeza chuki, narudia kwamba tatizo sio uislam ni masuala yanayo enda kinyume na maadili ya kitaifa. jua wapo waislam wengi tu ambao hawaafiki na hali hiya inayo endelea sasa namna unavyo changia si katika upeo wa busara za kusaidia taifa bali unaongeza kero, haya mamabo yanayoendele sio ya kupuuza( ninawasiwasi naupeo wako wa fikira maana yapaswa tuombe kuhakikisha mungu anaweka upendo kwa kila mmoja wetu na busara za kutatua matatizo yetu.

Kumbuka kwa taifa kama tanzania tumaishi kama ndugu tunashirikiana mambo mbalimbali kati ya waislam na wakristu pia wajomba zetu, dada zetu marafiki zetu na majirani zetu ni waislam na wakristu. tukemee hao wanaotumia dini kutenda maovu, wezi, majambazi, wanafiki na wengineo wengi wasio wazuri wapo makisani na misikitini lakini wasitufanye tujumuishe kwamba uislam au ukristu ni mmbaya.

Pengine tunazidiana namna ya busara tu lakini lengo la wote ni kwenda njia iliyo safi (nimemkumbuka nyerere hutuba zake zilizokua zikichangia kuwaunganisha watanzania asanten.
 
Wakati viongozi wa CCM wakiongoza jitihada za kupandikiza chuki za kidini dhidi ya CHADEMA ili kumsaidia Kikwete kuingia madarakani, yeye alikenua meno akaona hao ndo wenye akili. Ujumbe wa simu wa kupandikiza mbegu za chuki za kidini ulisambazwa kila mahali hakuna aliyesimama kukemea. Waislam wakatoa matamko yenye sura za udini hakuna aliyesimama kuyapinga, leo yamefika hapa ndo wanajifanya wanahamaki.

Kuna waliotabiri kwamba utawala wa Kikwete hautafika 2015, naona dalili ndo hizi, kama maaskofu wa makanisa yote wataamua kuungana na kutangaza wanachoweza kutangaza, naamini hapo tutamark the end of utawala wa Kikwete. And the worst think tukifikia huko, itamaanisha Kikwete hana jeshi tena la kusimama upande wake, maana hawa wanajeshi wana dini zao wanazoziamini. Worse enough asilimia karibu 80 ya wanajeshi ni wakristu. Kwakweli sipati picha hii vita itapiganwaje? Tuombe Mungu tu atupe busara, ili kama ni hali ya hatari itangazwe mapema kabla hatujafika kubaya. Maana siamini kama wakristo wataendelea kufumbia macho hivi vitendo vya uchomaji wa makanisa vinavyoendelea kufanywa na hawa waabuduo majini.

kwenye hiyo blue ...source ya takwimu zako tafadhali!
 
Kama kuna kipindi naumia moyo sababu ya nchii yangu ni sasa!! Ninashangaa kwanini Raisi haoneshi kujali kwa hawa ndugu zetu Waislam?..Naanza kukubali kua Kikwete hakufaa kutuongoza!! Ndugu zangu watanzania wapenda amani Dunia ya sasa Dini inaongoza katika mauaji!!na huu ugonjwa uloikumba nchi yetu ni laana mbaya sana!!

Mnyika alipotoa kauli yake bungeni si mlimfukuza???? haya sasa tumieni macho yenu kuona nn maana ya kauli ya MNYIKA
 
State of Emergency kwa kundi tu la wahuni ambao wanalelewa na Serikali hiyo hiyo?
 
Wakati viongozi wa CCM wakiongoza jitihada za kupandikiza chuki za kidini dhidi ya CHADEMA ili kumsaidia Kikwete kuingia madarakani, yeye alikenua meno akaona hao ndo wenye akili. Ujumbe wa simu wa kupandikiza mbegu za chuki za kidini ulisambazwa kila mahali hakuna aliyesimama kukemea. Waislam wakatoa matamko yenye sura za udini hakuna aliyesimama kuyapinga, leo yamefika hapa ndo wanajifanya wanahamaki.

Kuna waliotabiri kwamba utawala wa Kikwete hautafika 2015, naona dalili ndo hizi, kama maaskofu wa makanisa yote wataamua kuungana na kutangaza wanachoweza kutangaza, naamini hapo tutamark the end of utawala wa Kikwete. And the worst think tukifikia huko, itamaanisha Kikwete hana jeshi tena la kusimama upande wake, maana hawa wanajeshi wana dini zao wanazoziamini. Worse enough asilimia karibu 80 ya wanajeshi ni wakristu. Kwakweli sipati picha hii vita itapiganwaje? Tuombe Mungu tu atupe busara, ili kama ni hali ya hatari itangazwe mapema kabla hatujafika kubaya. Maana siamini kama wakristo wataendelea kufumbia macho hivi vitendo vya uchomaji wa makanisa vinavyoendelea kufanywa na hawa waabuduo majini.

Mkuu hapa umenena ila naomba nikukumbushe kitu, vita na waislamu haitakaa iishe hata kama jeshi lina 100% wakiristo. Waislamu wako brainwashed kiasi cha kuamini kwamba ukiua mkiristo mmoja hata kwa kujilipua na wewe ukafa unaenda mbinguni.
Hivyo watafanya kila hila hata kwa mabomu ya kuvaa.
Take note, they are so poor in terms of skills, knowledge and materials such that they dont have anything to loose if they die. They are ready for anything.
 
shule za msingi kuna swali huulizwa: makazi na ofisi za rais zinaitwaje? jibu ni ikulu. ila hapa jibu itabidi libadilishwe liwe ANGANI, maana ndipo mkuu wa nchi anaposhinda.
 
Back
Top Bottom